Kama chelsea wanavyoona ligi imeisha kwa kusajili pipa, wanasahau kuwa pipa lilikuwa palepale na halikuwa na maajabu yoyoteAt least wewe upo tofauti kidog unaonesha wewe ni shabiki mkomavu wa Liverpool ila hawa vifaranga wengine wao wanaina ligi ishaisha kwa mechi mbili tu.
Hahahaa! Mnapiga bomu mochwari na kujisifu mmeua, kwa taarifa yenu huyo arsenal anapigwa na hadi waliopanda daraja, aseno msimu huu kauanza vibaya mnoKuku mjiandaye kuchinjwa,ukiona mwenzako ananyolewa tia maji nywele zako
Unakariri vibaya.Kama chelsea wanavyoona ligi imeisha kwa kusajili pipa, wanasahau kuwa pipa lilikuwa palepale na halikuwa na maajabu yoyote
Huku si kuwatangaza ni maongezi ya kawaida tu kuona jinsi Chelsea mlivyo na mbwembwe muda huu mnapoongoza ligi kwa sababu ya herufi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa ndo ututangaze siku nyingine ukitukaribisha kwako hatuji unadharau sana.
Mfano wako ni butu huwezi kumfananisha Salah na lukaku acha ujinga bwana mdogoUnakariri vibaya.
Salah aliflop chelsea na sasa anashine Liverpool.
Liverpool wangekuwa na mawazo kama yako wasingemrudisha England.
Lukaku na yeye aliflop ila sasa karudi akiwa na miaka 28, amepikwa na ameiva kweli kweli.
Haya tuache hiyo, tuchukue reference nyingine ya kumfunga Man City back to back mechi 3 ikiwemo fainali za UEFA. Hapo vipi?Jana nimewakaribisha mashabiki wawili wa Chelsea kuangalia mpira nyumbani kwangu tambo walizokuwa wanatoa ni shida, yani unamfunga Arsenal unachukua kama reference ya kumfunga na liverpool [emoji3]
Ungejua Conte alikimbia nini Inter usingesema hayo. Conte hawezi fundisha timu inayobana pochi kama ArsenalHawa wasipokua makini yatawakuta ya Barcelona aisee.
Kutoa £30+ kwa Odegaard ni matumizi mambaya ya ma scouts kwa kweli.. Hii department ya usajili inabidi ifumuliwe..
Buendia aliwakataa akatimkia Aston Vilaa sijui aliona nini pale aisee. Arteta anatia huruma maana hawezi sema ela hajapewa.
Namuona Conte akitua Arsenal.
YNWA
SawaUnakariri vibaya.
Salah aliflop chelsea na sasa anashine Liverpool.
Liverpool wangekuwa na mawazo kama yako wasingemrudisha England.
Lukaku na yeye aliflop ila sasa karudi akiwa na miaka 28, amepikwa na ameiva kweli kweli.
Huna ubongoMfano wako ni butu huwezi kumfananisha Salah na lukaku acha ujinga bwana mdogo
Naamini Tuliwampumzisha wazee wa kazi Silva, chilwell, kante, Kwa ajili yenu tutawaona sasa nyie si mnajikuta wazee wa gregen pressin..n hyo siku master TT atakuja n approach tofauti[emoji16]Sijui matokeo yatakuwaje lakini ninawakumbusha Rent Boys kuwa Liverpool siyo Arsenal.
Kwan alichosema NI uongo? Salah si alikuja mwanzo hapo EPL lkn akaonekana kafeli mpk kutolewa mkopo na kuuzwa?Mfano wako ni butu huwezi kumfananisha Salah na lukaku acha ujinga bwana mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya tuache hiyo, tuchukue reference nyingine ya kumfunga Man City back to back mechi 3 ikiwemo fainali za UEFA. Hapo vipi?
Jana nimewakaribisha mashabiki wawili wa Chelsea kuangalia mpira nyumbani kwangu tambo walizokuwa wanatoa ni shida, yani unamfunga Arsenal unachukua kama reference ya kumfunga na liverpool [emoji3]
Kwa sasa jamaa zetu pale Gunners hawabani pochi mbali ni smart buying inawaangusha...Ungejua Conte alikimbia nini Inter usingesema hayo. Conte hawezi fundisha timu inayobana pochi kama Arsenal
Ela ya Konate isharudi.
Liverpool limebaki jina tu,hamna timu pale ya kuitisha, penye ukweli tuongee ukweli.Sasa hivi wameanza kuwa na kelele sana na kujisifia kwamba wanatimu.
Liverpool itawafundisha mpira mechi ijayo.