Chelsea ilakaa miaka 54 ndio ikaja kubeba epl sasa hapo ajabu nini?Wewe huoni Torres alipata mafanikio makubwa alivyokuja darajani..! Uefa, Europa, ligi, Torres angestaafu kama Gerald bila kubeba EPL ..hii Liverpool ita struggle miaka 30 tena kuja kunyanyua EPL tena.
Tukishamnywa arse8 jiandaeni nyie kuku..
Lukaku alishacheza mechi kibao epl hakuwahi fikisha ndio aje afikishe leo?Izo msimu huu lukaku anafikisha na zaidi ..hizo 32 goli chache sana..
Salah msimu huu akifikisha goal 15 napotea humu..
Duuh sijasema nachukua ubingwa mbali nina imani tunaleta ushindani kwenye EPL..Mkuu ni mapema sana kujiamini na akina Burnley maana safari bado ndefu mnaeza anza mkashinda hata mechi kumi lakini bingwa akawa hata Leicester uko ..mfano gemu ijayo mko na Chelsea. Tutegemee nini? Najua mna mawazo ya kushinda lakini lolote laweza kutokea mkaangukia pua.
Tukishamnywa Leo arse8 basi na ninyi mjikoroge tuje kuwanywa.
CFC
Wewe huoni Torres alipata mafanikio makubwa alivyokuja darajani..! Uefa, Europa, ligi, Torres angestaafu kama Gerald bila kubeba EPL ..hii Liverpool ita struggle miaka 30 tena kuja kunyanyua EPL tena.
Tukishamnywa arse8 jiandaeni nyie kuku..
Sisi kwa sasa tuna piga back to back uefa. At least tukibeba kama uefa sita hivi ndo ligi hata tatu basi tuanze tena kuuza wachezaji na kununua vifaa vyingine ili kuendelea mzunguko wa kubeba makombe.Na nyie chelwowo mtakataa miaka 50 tena bila EPL tunaenda mwaka wa tano huu bilabila
At least wewe upo tofauti kidog unaonesha wewe ni shabiki mkomavu wa Liverpool ila hawa vifaranga wengine wao wanaina ligi ishaisha kwa mechi mbili tu.Duuh sijasema nachukua ubingwa mbali nina imani tunaleta ushindani kwenye EPL..
Nimeona mengi mazuri kwenye hizi mechi.
YNWA
Ngoja Leo ana anza kazi rasmi na mutaona moto wake..Lukaku alishacheza mechi kibao epl hakuwahi fikisha ndio aje afikishe leo?
Yaaani kwa namna vijana walivyocheza nina imani kubwa mechi ijayo vs Les Blues itakua full cracker yaaani burudani kama zote...
YNWA
Manure bhana! Walifurahia goli 5 wakajiona ndiyo tayari wanaenda kubeba bingwa hatimae leo wameshindwa kufurukuta
Epl hua haichezwa kwenye mitadao ama keyboard worriers...At least wewe upo tofauti kidog unaonesha wewe ni shabiki mkomavu wa Liverpool ila hawa vifaranga wengine wao wanaina ligi ishaisha kwa mechi mbili tu.
Naona leo Lukaku kaanza na moto 🔥 🔥 🔥.....Tuombe uzima mkuu. Tho hongera kwa ushindi
Keep on dreaming...You're next...
Mpango uliopo Tunawapiga nyie baada ya hapo tunatengeneza mazingira ya kuogopeka mapema tu maana gari lishawaka hili kuzimika ni ni may hapo mkuu.Keep on dreaming...
Wao na wewe nani kifaranga?wao wanaodai watachukua ubingwa kwa mechi hizo mbili na wewe unayesema utachukua ubingwa wa uefa kwa Mara nyingine wakati hata mechi moja hujacheza....HASHISHI SIYO NZURI KWAKOAt least wewe upo tofauti kidog unaonesha wewe ni shabiki mkomavu wa Liverpool ila hawa vifaranga wengine wao wanaina ligi ishaisha kwa mechi mbili tu.
Naona leo Lukaku kaanza na moto [emoji91] [emoji91] [emoji91].....
Arsenal ki ufupi wana safari ndefu sana kurejea ubora wao.
YNWA