Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama kuprove ubora wake Keita basi ni msimu huu kwani nafasi ya GINI imekuwa favoured kwake hivyo anapaswa kuipigania kwa juhudi zote ili ibakie kwake na ajiepushe na injuries za muda mrefu.

KEITA - FABINHO - HENDO nadhani ndiyo combo yetu rasmi ya msimu huu.

Jones
OX
Elliot
Milner
Watakuwa squad players kuprovide backup pale itakapohitajika.
 
THIAGO vp boss?
 
Lukaku rekodi yake ni kumaliza wapili nyuma ya wenzie wakati rekodi ya salah ni kufunga goli 32 kwa msumu kwa mechi 38 ambayo toka epl ianzishwe hakuna aliyeweza,
Drogba alifunga goli 31 wewe kuku
 
Tukishamnywa arse8 Leo jiandaeni na nyie kuku.

Sisi hatuna cha kusubiri tena msimu huu.
 
Chelsea sio wa kumtisha liver kivile, liver ilishawahi mpiga chelsea goli mbili ndani ya dakika 1
Unaandika huu upuuzi ukiwa na kanga moja iliyolowa au ukiwa mtupu? Umesahau jinsi Gerald alivyotekeza tukawala kichwa japo lengo lenu lilikuwa nyumbu asibebe ubingwa.
CFC
 
Yaaani kwa namna vijana walivyocheza nina imani kubwa mechi ijayo vs Les Blues itakua full cracker yaaani burudani kama zote...

YNWA
Mkuu ni mapema sana kujiamini na akina Burnley maana safari bado ndefu mnaeza anza mkashinda hata mechi kumi lakini bingwa akawa hata Leicester uko ..mfano gemu ijayo mko na Chelsea. Tutegemee nini? Najua mna mawazo ya kushinda lakini lolote laweza kutokea mkaangukia pua.
Tukishamnywa Leo arse8 basi na ninyi mjikoroge tuje kuwanywa.
CFC
 
Unaandika huu upuuzi ukiwa na kanga moja iliyolowa au ukiwa mtupu? Umesahau jinsi Gerald alivyotekeza tukawala kichwa japo lengo lenu lilikuwa nyumbu asibebe ubingwa.
CFC
Wewe ndio umeandika ukiwa umevaa shanga unajipitisha kwenye uzi wa wanaume, torres hakuwapiga mbili within a minute ndio kisa cha kumnunua?
 
Wewe ndio umeandika ukiwa umevaa shanga unajipitisha kwenye uzi wa wanaume, torres hakuwapiga mbili within a minute ndio kisa cha kumnunua?
Wewe huoni Torres alipata mafanikio makubwa alivyokuja darajani..! Uefa, Europa, ligi, Torres angestaafu kama Gerald bila kubeba EPL ..hii Liverpool ita struggle miaka 30 tena kuja kunyanyua EPL tena.
Tukishamnywa arse8 jiandaeni nyie kuku..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…