Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kwa hii EPL ilivyo naweza sema matokeo ya mwanzo wa Ligi sio ya kuyafurahia sanaaa yaaani kuleta ubingwa wa Ligi, hapa matokeo yenye uhakika wa ubingwa ni kuanzia January 2022 hapo ndio msimamo unaanza kuleta ni vipi nasafi ya kwanza mpaka ya 6 itakua.Anatakiwa kuchapwa kama 3 hivi mfululizo [emoji28]
Achana naye huyo atakuumiza kichwa yu bure, Ollachuga chenga sana huyo[emoji1][emoji28]Leicester yupi wa kumtoa upepo Liverpool khaaa tulia babu...
Msimu huu tunakua kivingine hivyo utulie tuliiiii huu mchezo hautaki hasira.
YNWA
Arsenal akishamkalisha hutamuona humu kwa muda yaaani atajipiga ban kimya kimya...Achana naye huyo atakuumiza kichwa yu bure, Ollachuga chenga sana huyo[emoji1][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Arsenal akishamkalisha hutamuona humu kwa muda yaaani atajipiga ban kimya kimya...
YNWA
Sana, Yuko vizuriDogo anapiga krosi sana yule
Really lakini pia tahadhari inatakiwa na kunituma kipindi hiki maana ukiteleza mpinzani wako kuzidi points nyingi utakufa moyo wa kupambana kuanzia hiyo JanuaryKwa hii EPL ilivyo naweza sema matokeo ya mwanzo wa Ligi sio ya kuyafurahia sanaaa yaaani kuleta ubingwa wa Ligi, hapa matokeo yenye uhakika wa ubingwa ni kuanzia January 2022 hapo ndio msimamo unaanza kuleta ni vipi nasafi ya kwanza mpaka ya 6 itakua.
Unless itokee timu iwe moto mbaya sana isifungwe kuanzia sasa mpaka January 2022 basi hao watakua wamemaliza Ligi mapema sana case study Liverpool season 2019 2020. From the word go tulikomaa mno na hatimae ubingwa ulitua Anfield.
YNWA
Mkuu huu msimu kila mtu anajua Chelsea ndio bingwa. Huoni tuna goal machine Lukaku?!! Hivyo nyie pambanieni hizo nafasi zilizobaki..Kwa hii EPL ilivyo naweza sema matokeo ya mwanzo wa Ligi sio ya kuyafurahia sanaaa yaaani kuleta ubingwa wa Ligi, hapa matokeo yenye uhakika wa ubingwa ni kuanzia January 2022 hapo ndio msimamo unaanza kuleta ni vipi nasafi ya kwanza mpaka ya 6 itakua.
Unless itokee timu iwe moto mbaya sana isifungwe kuanzia sasa mpaka January 2022 basi hao watakua wamemaliza Ligi mapema sana case study Liverpool season 2019 2020. From the word go tulikomaa mno na hatimae ubingwa ulitua Anfield.
YNWA
Hiyo game na arse8 ni imeshaisha. Hadi sasa tunaongoza 3Arsenal akishamkalisha hutamuona humu kwa muda yaaani atajipiga ban kimya kimya...
YNWA
Mkuu kwa sisi wabobezi wa soka tunaona kabisa liverpool hatomaliza msimu juu ya Leicester japo wanaweza pishana point chache.Leicester yupi wa kumtoa upepo Liverpool khaaa tulia babu...
Msimu huu tunakua kivingine hivyo utulie tuliiiii huu mchezo hautaki hasira.
YNWA
Kwa hili la Leicester ndugu nina uhakika kabisa labda yatokee majeruhi 1st 11 wote iwe nje kwa muda mrefu and i forbid hata tusipate majeruhi this time especially pale defence...Mkuu kwa sisi wabobezi wa soka tunaona kabisa liverpool hatomaliza msimu juu ya Leicester japo wanaweza pishana point chache.
Inahitaji akili kubwa sana ya kisoka kuona huu mpenyo. Hii sio imagination ni logic mkuu.
Arteta anaanzia ligi kwenu yaaani hivi mtakua Emirates au Darajani...Hiyo game na arse8 ni imeshaisha. Hadi sasa tunaongoza 3
😂😂😂😂😂Lukaku huyu EPL alichemka ni kamali ndugu ikiwa YES mmetoka salama kuleta ushindani EPL na ikiwa ni NO utakua umejimaliza mwenyewe maaana kwa ule mpunga ni nomaa sanaaaa....Mkuu huu msimu kila mtu anajua Chelsea ndio bingwa. Huoni tuna goal machine Lukaku?!! Hivyo nyie pambanieni hizo nafasi zilizobaki..
#CFC
Hahaha the earlier the better... Consistency ndio siri ya ushindi EPL tukifanikiwa hilo waaaa am positive ubibgwa huu unatua kabisa kwa Majogoo wa Jiji...Really lakini pia tahadhari inatakiwa na kunituma kipindi hiki maana ukiteleza mpinzani wako kuzidi points nyingi utakufa moyo wa kupambana kuanzia hiyo January
Impact ya usajili tuliofanya msimu uliopita nadhani umeishuhudia. Back to back European cups..na sasa tuna goal machine Lukaku hivyo uwakika wa kubeba all major trophies tunao kwa 93% hivyo hizo nafasi tuliomaliza msimu uliopita msimu huu tunawaachia nyie.Kwa hili la Leicester ndugu nina uhakika kabisa labda yatokee majeruhi 1st 11 wote iwe nje kwa muda mrefu and i forbid hata tusipate majeruhi this time especially pale defence...
Kama last season walichemka mkawa mnakimbizana nani abakie Top 4 basi kwa Liverpool hii ikiwa ilivyo hana huo ubavu..
Ollachuga Oc acha uoga misimu hii miwili Leicester amekukimbiza mbio za Top 4 mpaka mechi ya mwisho wa msimu hivyo usidhani sisi ndio ahamishie hizo mbio kwetu huyo anakuhusu wewe.
Kikosi kwa sasa nina imani Top 3 nimo sanaaaa...
YNWA
HahahaaaaaaImpact ya usajili tuliofanya msimu uliopita nadhani umeishuhudia. Back to back European cups..na sasa tuna goal machine Lukaku hivyo uwakika wa kubeba all major trophies tunao kwa 93% hivyo hizo nafasi tuliomaliza msimu uliopita msimu huu tunawaachia nyie.
Ninyi pambaneni na Leicester na spurs kwa sasa naona misimamo utakuwa hivi:
Chelsea
Man city
Leicester
Man united
Liverpool
Spurs
Imeisha hiyo tunabeba kombe asubuhi tu ..nyie liver subirini hadi msimu wa 2030 kubebe tena EPL.
Naona leo Kaskazini kumekucha. Hivi ingekua usajili ndio ubingwa si ingekua una Champions League 10+ mpaka sasa, tangu atue Boss Roman..Impact ya usajili tuliofanya msimu uliopita nadhani umeishuhudia. Back to back European cups..na sasa tuna goal machine Lukaku hivyo uwakika wa kubeba all major trophies tunao kwa 93% hivyo hizo nafasi tuliomaliza msimu uliopita msimu huu tunawaachia nyie.
Ninyi pambaneni na Leicester na spurs kwa sasa naona misimamo utakuwa hivi:
Chelsea
Man city
Leicester
Man united
Liverpool
Spurs
Imeisha hiyo tunabeba kombe asubuhi tu ..nyie liver subirini hadi msimu wa 2030 kubebe tena EPL.
Scared beaten by Nuno haha am sure he is preparing the cheque to acquire Kane immediately.We didn't even get into the second gear in our today's game vs Norwich but still won comfortably 3-0 away from home.
This should scare Pep even more!
Chelwowo ndo nini wewe liverkuku ..wee subiri uone vipigo tunatoa huu msimu hadi mchanganyikiwe.Nyie Chelwowo Lukaku mmepigwa time will tell