Kwa mimi yes £30-£40 Million mshahara wa £135-£140 unamtosha kuongeza striking force.Mnasemaje kuhusu Raphina wa leeds?
Of course kwa mimi pamoja na uzuri wake but the gaffer is boring for some occassions.Labda aje kocha mwingine ndo apangwe sio Klopp
Poa poa chief.Duh makombe yote hayo, mko vizuri majogoo salute.
Kuwapelekea Moto siyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndo mpiga ban wa jf siku hizi?
Nyie ndo mlioubeza usajili wa Chelsea under Lampard na kuona tumepuyanga sasa mmeangukia pua munaanza kujilaumu na kuilaumu bodi yenu wakati ndo ilimtuma Klopp kwenda kwenye media kuiponda Chelsea wakati wa usajili.
Lampard alipatia kwenye usajili ila aliboronga kwenye formation. Mimi naamini Liverpool Ina wachezaji wa kawaida tu ila klopp kajua jinsi ya kuwatumia ndani hii misimu minne. Sasa Tuchel atafanya Mara kumi zaid ya Klopp.
Acha ushamba ..maana msimu ujao ni mwendo wa kuwapelekea moto tu.
#kukuKAMAkuku.
#aminiKwamba.
#CFC
Maneno ya mkosaji haya ..kwanini alienda Everton, alienda kufanya nini Sasa??[emoji2424]| Carlo Ancelotti:
"Every club has different goals. Real Madrid's goal is to win the #UCL and La Liga. Everton's goal is to win a Merseyside Derby, so I had to leave. "Richarlison was celebrating naked in the changing rooms when we won at Anfield, you would think they won a trophy or something. It was unbelievable!”
[emoji3481]
#rmalive
Maneno ya mkosaji haya ..kwanini alienda Everton, alienda kufanya nini Sasa??
Usiwaze mzeiyaa nitakuletea keki zimetengenezwa na nyama ya ngamia ..ni tamu izoo ..usipime!!Gudi tu mzee tupo yente. Haina kwede ukirudi leta tende shazi.
Aaah wapi amna kitu apoHBD chama langu.
"The most successful club in England"..... that's not me saying that, it's Goal saying it!
View attachment 1807059
Usiwaze mzeiyaa nitakuletea keki zimetengenezwa na nyama ya ngamia ..ni tamu izoo ..usipime!!
Tuchel kamkimbiza fasta ameondoka bila Furaha kabisa yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kipara kashakwenda likizo kwao Catalan yaaani.
Mpira raha sana haunaga matokeo ya mfukoni.
YNWA
kabisa, wanazidiwa mpaka na ureno kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja!Sio kipana kaka wala hakitishi ni maarufu tu hapo bro.
Embu pima na ujerumani spain netherland italy france n.k
Mf. Tupime france na england mchezaji mmoja mmoja timu gani itaingiza players wengi kwa timu ya mwenzie anzia goalkeeping mpka striking. Fuata Spain Italy Germany Netherland.
Hawa ENGLAND ni umaarufu kutokana na ligi yao kutazamwa sana kwa hiyo unakuta tunawajua wachezaji wao 26 mpaka wale reserve ila sio wana maajabu sana japo kuna wenye wapo vizuri.
Hahahaha alikuwa na mdomo Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee nyie wazee wa ze blauzi mmemkimbiza pain killer hili jukwaa hahaha
Wakuu,sijamsoma Don hapa jukwaani kwa muda mreefu sana,kuna anaejua lolote au taarifa kuhusu huyu mwamba?
Yaani nimeona Mwenyekiti wao Al Mubarak anasema watamwezesha Pep sokoni ili walipokwama msimu huu wasikwame tena.Tuchel kamkimbiza fasta ameondoka bila Furaha kabisa yaani
Tuchel kamkimbiza fasta ameondoka bila Furaha kabisa yaani