Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu mkataba huu haujawa wazi wote ni baadhi ya vipengele tu tena vinavyohusu Liverpool kulipwa. Kama jamaa atacheza mechi kadhaa, kama atatwa kombe/makombe n.k

Sisi tusubiri tu.
 
Nafikiri kwa ubora wake na free transfer tutapita na huyu Calhanoglu na ubahili wa fsg utashangaa C10 na Calhanoglu ndio wanatua... kisha tunatafuta one ST tunamaliza Transfer.

Firmino apewe his natural no. Tumfaidi.

Na taarifa za ndani zinasema MANE SALAH hawauzwi.
Kuna maximum 11 offloads. Nafikiri hii transfer itatufurahisha ni FSG wampe JK mzigo wa kutosha.
 
Nashani eneo letu la midfield lipo very congested.

Fabinho, Thiago, Hendo, Milner, Jones.. Keita, Ox, and the likes of Shaqiri. Nadhani addition moja ya maana tu ndio inatakiwa eneo la midfield.

Inasemekana Klopp ana prefer kuwabakiwa Ox na Keita.
Yes... hii nilisoma mahali wabaki ox na keita.
Sitashangaa jones akitolewa mkopo.

Phillips atauzwa Burnley wanamnyatia ila tutajutia kama tutapata injuries za kujirudia rudia za kina matip gomez.

Jk achange karata vizuri Phillips abaki tu hatujui vvd atarudi vipi gomez matip dakika yoyote wanakuacha, konate hatujamjua bado. Nafikiri phillips na Davies waachwe wapewe Carabao na FA... Walau tubaki na kikosi imara cha kugombea FA & Carabao.
 
Pellegrini yes he is good nimeuona mara kadhaa hata Muriel wa Atalanta yupo vizuri kwa bei za FSG na mishahara wanayotaka kutoa hawa hatushindwani nao tunawamudu under Genius in business Michael Edward tunapata vizuri hawa.
 
Huyu Konate Liverpool tukimchukua tutakuwa tumepigwa
Netherlands 2-1 France ..Konate ndani u-21
Tumepigwa pale...
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
NEWS: Ghana U-20 star Fatawu Abdul Issahaku has signed a 5-year deal for Liverpool FC. Fee rumoured to be around £1.5m

Fatawu was minutes away from joining Bayer Leverkusen last week. The 17yo was voted as MVP of last Afcon U20.

Haya tu! Ndiyo yaleyale ya Kijamii then utasikia wamepelekwa kwa Mkopo Westham
 

Baada ya kula Ban nadhani akili imekukaa sawa
 
Duh!! huyu Fekir atakuja kujaza hodi ya wagonjwa mkuu.
 
Hivi BOBBY hauzwi ??Mane je??
Maana wasije wakawaacha halafu ukashangaa wanamuuza Salah.
 
Natamani sana nimuone C10 tena akiwa na uzi ya LFC. Maana hata Klopp mwenyewe hatotumia nguvu nyingi kwenye namna ya kumtumia. Kingine upande C10 hata akitokea kwa Mane still ataweza kuoffer kitu. FGS wasilegeze akili wachukue mai hiyo.
 
Klopp sio muumin wa rotation kabisa. Mpaka mtu aumie ndo wengine wapate chances
Rotation ni nzuri. Rotation inaibua vipaji inapunguza utegemezi.

Neco Williams
Tsimikas
Jones
Shaqiri

Hawa tungewathamini kama wangepewa game time ya kutosha.
Kama tulivyoona kwa Phillips. Ila klopp muoga
 
Huu mkataba huu haujawa wazi wote ni baadhi ya vipengele tu tena vinavyohusu Liverpool kulipwa. Kama jamaa atacheza mechi kadhaa, kama atatwa kombe/makombe n.k

Sisi tusubiri tu.
Ndugu Captain Justine kwa MF tena attacking ungeshauri tumpate nani.

Hatuna magoli ya mipira ya adhabu, hatuna magoli mengi nje ya 18.

Thiago, Henderson, Fabinho, Jones hawa sio wa magoli 10 na assist 10 kwa msimu.

YNWA
 
Hivi BOBBY hauzwi ??Mane je??
Maana wasije wakawaacha halafu ukashangaa wanamuuza Salah.
Mkuu kwa hawa FSG usishangae.

Kama Zidane akiwa boss FSG itakua Mane ana nafasi ya kwenda PSG kuliko Salah.

Hapo ni kama Mbappe atakwenda Real Madrid.

Ndio kwanza asubuhi ndugu mpaka dirisha lifungwe kutakua na mengi.

YNWA
 
Trent Alexander-Arnold is set to miss out on England’s Euros squad with right-backs Kyle Walker, Reece James and Kieran Trippier preferred, per @JamesOlley

After naming a 33-man preliminary group, manager Gareth Southgate will name the final 26 players selected on Tuesday.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…