Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pamoja ndugu.

Kanote kutoka RB Ujeremani ndio mazungumzo yanaedelea. Jamaa wanataka cash Liverpool wanataka walipe kwa awamu. Ishu iko hapo kwa sasa naamini kwa vile dogo kashakumbali kuja kwetu watapata break through.

Yves kutoka Brighton baada ya Gini kutimka ni rasmi sasa Liverpool watatua kwake mazima. Pazuri ni kwamba Arsenal ni kama wamejiodoa kuwania saini yake.

Kabak naona 50 50 kubakia Liverpool japo Klopp alisema ataongea nae ligi ikiisha. Dogo Kabak kasema ameridhia kubakia Liverpool hivyo sasa ni Liverpool kutoa mpunga around £18m ili kumnasa mazima.

Adrian wanampango wa kumpa tena mkataba wa mwaka mmoja [emoji1552][emoji1552][emoji1552]..

YNWA
kama kanote na kabak watasajiliwa basi matip na gomez waondoshwe, tubaki na Nat, Rhys, sep kama understand then hao wawili plus vvd utakua ukuta wetu..... but i guess hatuwezi sajili kabak na kanote wote wawili

milner wampe asante ya utumishi na mkono wa kwaheri, gini ndio huyo, keita na ox biashara ifanywe tu wasepe!

jones regular, elliot arudishwe, and i wish brewster afanikiwe anfield......

big shaq, origi, and one or two of the front 3 wauzwe, tununue wawili wapya!........

Mbappe[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Adjustments.jpg
 
[emoji122][emoji38][emoji116]View attachment 1796062
Hivi hawa FSG wanaweza kweli kutoa £100m+ na mshahara wa £400,000 kwa wiki 🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿...

Ukumbuke wamepata hasara around £46m mwaka ulioisha wa fedha.

Huyo Kanote chaguo la kwanza la Klopp release clause yake ni £34m na bado FSG wanataka punguzo na extended payment design walivyowapata Thiago na Jota.

YNWA
 
kama kanote na kabak watasajiliwa basi matip na gomez waondoshwe, tubaki na Nat, Rhys, sep kama understand then hao wawili plus vvd utakua ukuta wetu..... but i guess hatuwezi sajili kabak na kanote wote wawili

milner wampe asante ya utumishi na mkono wa kwaheri, gini ndio huyo, keita na ox biashara ifanywe tu wasepe!

jones regular, elliot arudishwe, and i wish brewster afanikiwe anfield......

big shaq, origi, and one or two of the front 3 wauzwe, tununue wawili wapya!........

Mbappe[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mkuu Brewster alikua na haraka mno ya kutaka kutoka sasa Klopp alimwambia dogo wewe bado nenda kwa mkopo tena Championship akawa mbishi kiasi aka force kuodoka kwenda Blades ambapo i guess hajafunga hata goli moja EPL hivyo huyo kwa sasa atulie Championship panamfaa sana. He is still young ana future powa kabisa.

Kanoute kashasema ni ndoto yake ni kubakia kwa Majogoo. Sasa Klopp na jopo lake wataongea nae aidha kumbakisha ama kumpa mkono wa asante. Na tayari RB Ujeremani wanasubiri tumwachie wamnase ku cover nafasi ya Kanote akija kwetu hivyo dogo bado ana suitors wengi tu.

Milner haha huyu kwani mkataba wake si unaisha next season hivyo bado yumo. Hivi jana uliona ile rafua aliyomchezea mchezaji wa Palace yaaani huyu babu utadhani ni amateur.

Elliott bado sana. Huyu abakie tena Championship maana hakuna haja aje aafu aambulie benchi huku akina Chamberlain wakipewa nafasi. Unless kuwe na wholesale ya wachezaji pale front sioni akipata namba. Huyu fahamu anang'aa zaidi upande wa kulia ambapo yupo Salah ambae akipewa sub ni full kununa 😂😂😂...

Mbappe haha only in Disney land.

YNWA
 
[emoji599] NEW: Liverpool will complete the signing of Ibrahima Konaté soon. Personal terms have been agreed since April until June 2026. #awlfc [@FabrizioRomano] https://t.co/CO30b3V7Jo

HERE WE GO
Biashara asubuhi kabla wengi hawajaona fursa na bei kupanda tumia fursa mapema
 
Hivi hawa FSG wanaweza kweli kutoa £100m+ na mshahara wa £400,000 kwa wiki [emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552]...

Ukumbuke wamepata hasara around £46m mwaka ulioisha wa fedha.

Huyo Kanote chaguo la kwanza la Klopp release clause yake ni £34m na bado FSG wanataka punguzo na extended payment design walivyowapata Thiago na Jota.

YNWA
Usiogope, ndio muda wa kuzichambua tetesi huu..

YNWA
 
Usiogope, ndio muda wa kuzichambua tetesi huu..

YNWA
Sawa ndugu.

Kumpata Mbappe lazima Salah au Mane mmoja wao apigwe bei aisee. Kwa soko hili kupata mteja wa kununua kwa £80m+ ni mtihani considering they aint getting any younger.

Covid imevuruga sana soko la Wachezaji.

FSG hua sio waumini wa kutoa pesa mfukoni mwao kununua mchezaji design kama ya Mansour pale Ethad.

Muda utasema maana hata dirisha lenyewe bado kufunguliwa.

YNWA
 
[emoji599] NEW: Liverpool will complete the signing of Ibrahima Konaté soon. Personal terms have been agreed since April until June 2026. #awlfc [@FabrizioRomano] https://t.co/CO30b3V7Jo

HERE WE GO
Biashara asubuhi kabla wengi hawajaona fursa na bei kupanda tumia fursa mapema
RB Leipzig expect Ibrahima Konate to join Liverpool this summer and are waiting for official confirmation that they will pay his €35m (£30.2m) release clause.

Leipzig are already looking for replacements for the French centre-back, who turned 22 on Tuesday and made 21 appearances in 2020-21.

Source Skysport.

YNWA
 
Gossip watch.

Liverpool have taken Hibs 16 yrs youngster Ethan Laidlaw on trial.

The boyhood Hibs supporter – who has been part of the Academy set-up since he was 10 – is described as an ‘agile, quick and skilful attacking player’.

Hahaha kazi imeanza.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom