mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Huyu kama kweli wanamtaka Atletico Madrid wamchukue hata bure kwa kweli.
Kuna siku alikuwa kwa first 11, akaumia wakati wa warm up, watu tunashangaa timu inaingia uwanjani Keita hayupo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kama kweli wanamtaka Atletico Madrid wamchukue hata bure kwa kweli.
Keita is cursed sio bure yaaani hata mazoezini anaumia aafu utasikia wiki 4 nne.
Poor lad. He had the dream chance to play for us but things have turned south every now and then.
YNWA
Tunacheka kama mazuri 😂😂😂.....Kuna siku alikuwa kwa first 11, akaumia wakati wa warm up, watu tunashangaa timu inaingia uwanjani Keita hayupo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Salah sio wa kumpoteza aisee.
Salah asiachiwe kwa namna yoyote ile anatakiwa awe legend kama Messi pale Barcelona.
Leo ni
Salah Vs Harry Kane..
Liverpool Vs Leicester...
The worst scenario ni Leicester kuifunga spurs goli goli nyingi
Mfano 5 -2..
Na Harry Kane afunge hizo mbili
Ina maana Kane atakuwa mfungaji Bora..
Na Leicester wanaweza maliza top 4 kama tutaoa draw au kufungwa..
The best scenario ni Tottenham washinde huku Harry Kane asifunge goli
Na Sisi Salah ashinde goli moja na tushinde mechi...hapo tunamaliza top 4 na Salah top scorer