King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Sasa kama hamsajili itakuaje? Maana goli sasa inabidi lisakwe na Allison
Naomba mwenye clip ya goal la Allison anitumie.sijacheki game
Why Jota hakuwepo hata benchi?
Na nyinyi mlivyo na roho mbaya mkishirikiana na Allison hamtaki wawepo top fourMkuu kwanini hukai na Chelsea mukamaliza tofauti zenu? Yani umewakaa hawanywi maji siuji wakikosa CL watakimbilia wapi!
Numbisa njoo huku kuna mdau anahitaji msaada wako.Naomba mwenye clip ya goal la Allison anitumie.sijacheki game
Na nyinyi mlivyo na roho mbaya mkishirikiana na Allison hamtaki wawepo top four
Man city anamzui kuingia top 4 Chelsea ?Chelsea wanachotakiwa ni kumfunga Leicester goli nyingi Tu
Na man city pia wamfunge baasi
Kwasababu wewe ni mjinga.Mbeleko FC kwann mpira umechezwa mpaka dakika ya 97 wakati ziliongezwa dakika 4 tu
Kwasababu wewe ni mjinga.
Umesahau hata chelsick kachezea kipigo nyumbani kwakeImagine!
Unamfunga Arsenal away
Unamfunga Manure away
Then unastruggle kwa Albion
Huu mwaka umetukaa kooni