King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Liverpool mtazikumbuka point za Newcastle, Leicester atafungwa na Chelsea na game ya mwisho atashinda kwa Spurs, hapo ndio kimbembe cha Europa minapokuja.
Kweli lakini pia ukificha moshi moto utakuumbua mimi naona kloppKlopp ishu kama hizi hua hana muda nazo.
Ilitokea kwa Henderson tena hapo hapo Old Traford na hakuna ishu iliisha pale Pale.
Akaja Salah nae mambo haya haya tena yeye ni zaidi ya mara moja.
Akaja Keita nae vile vile Klopp aliizima chap.
Sasa amekuja Mane na Klopp kashasema it's all cool.
Anakomaa zaidi na wapi timu itamaliza kuliko haya ya wachezaji.
YNWA
Dah! kweli mkuu nilikuwa sijaona kumbe mnagame tatu mkononi, basi Leicester Europa panamuhusu labda mfanye ajizi.Points za Newcastle tunazikumbuka kweli lakini Kati ya Chelsea na Leicester mmoja wapo lazima atupishe.
Na usijeshangaa tukamaliza nafasi ya 3 badala ya 4.
Kweli kabisa aisee!Huna kikosi cha kuifunga man utd wewe ..
Kweli ni muziki munene hadi 4G kufiti kisawasawa jana usiku!======
McFred
Rashford Fernandes Pogba
Cavani
=======
Mnatokea wapi nyie jamaa kwa huo mziki hapo juu?
Chief, you and I both know LFC - year in and year out - relishes and thrives on these types of situations.Easy said than done. How did arrive here.
Am at peace with the end of the season position whether we get Top 4 or not.
My only concern is will the Yankees give Edwards the cash to spend.
We need to strengthen seriously with established new comers sio this kids kama walivyo nunuliwa last major window.
For starters naona kuna Kanote to partner VVD.
MF box to box kuna Yves Bissuoma.
MF multi task yupo Housem Aour.
Strika bado sijaona haswa Edwards anapeleka wapi japo kwa Patson Daka naona anatufaa.
Winger kuna Ismail Sarr pia kuna Sancho 😁😁ooh man.
Muda utasema.
YNWA
Sio kwamba si mkali mbali hapendi kufanya kazi hizo kwa kuzinufaisha media.Kweli lakini pia ukificha moshi moto utakuumbua mimi naona klopp
Awe mkali kidogo Team iende
Its was sweet Man thrashing Manchester United kwao and 4 goals no joke. By thier standards they are having a cool season hivyo kuwafunga wakiwa in that form speaks volume where we wonna finish the season.Chief, you and I both know LFC - year in and year out - relishes and thrives on these types of situations.
Having annihilated Manure last nite, why not going the whole way now chief?
kweli makocha wengi huwa attitude ya kupanick fasta klopp nadhani hapa Mane ndio kaumia zaidi maana jamaa anajua kucheza na akili za wachezajiSio kwamba si mkali mbali hapendi kufanya kazi hizo kwa kuzinufaisha media.
Yeye anafanya kazi kimya kimya huko vyumbani wala sio mpaka media wapate headlines.
Tangu ilivyotokea ile ya Henderson pale OT na Klopp akaipotozea na Henderson alikua na msimu mbaya ndio nikasema Klopp ni level zingine. Haya mambo hata Fergie, Mourinho, Conte, Mancini hawavumilii.
Mane atakua ananilaumu alipo.
Maisha yanakwenda kasi tumerejea tena kwenye mix ya UCL.
YNWA
Klopp mwenyewe alisema akiwa mchezaji alikua na emotion swings zaidi ya Mane 😂😂😂yaaani alisema my goodness i wish you saw me when i was a player haha akimaanisha ali behave weird at times kama hakuridhiswa na tabia za mwalimu na pengine hii ndio inamfanya ku keep in check his emotions inapotokea mchezaji ame misbehave mbele ya camera yeye Klopp hua ana chill.kweli makocha wengi huwa attitude ya kupanick fasta klopp nadhani hapa Mane ndio kaumia zaidi maana jamaa anajua kucheza na akili za wachezaji
Kwakweli tulipata kocha mzuri hapa
Nimeoana akikaribishwa EPL aje kujipima nguvu kama imeiva.
Huyu kocha hata ichangamsha hii tim kwa kusajili maana anaogopa waliopo hahaaa kama mchezaji akivimba yeye ananywea ni hatari sana kwa kiongoziLiverpool starting XI vs the Baggies
Alisson; Alexander-Arnold, Phillips, R Williams, Robertson; Fabinho, Thiago, Jones; Salah, Mane, Firmino.
Liverpool substitutes: Adrian, Wijnaldum, Tsimikas, Shaqiri, Origi, Woodburn, Clarkson, N Williams, Koumetio.
YNWA