Ataishusha hii tim huyu hana ubunifu kwenye shida hata iweje hatukutakiwa kua nafasi hii mbinu zimetuangusha
Carragher alisema klopp akiondoka LFC,. Baada ya muda mfupi mashabiki wataanza FSG out, huyu mtu ana nguvu ndani ya Liverpool.Pamoja na mapungufu yake tusimbeze kiasi hicho anaumuhim pale Liverpool
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Haha yaaani Ollachuga Oc unapataga wapi nguvu hii yaaani wewe unajipoza kuwapoda wachezaji wetu huku huwaoni Kepa, Kai na Werner yaaani hao kwa ela mliotoa kwa kila mmoja mmepigwa ela ndefu sana.Alcantara tulipigwa.
Jota tumepigwa..
Hii timu tumepigwa...
Kwa mbinu zisizo badilika za kocha nishakata tamaaGossip Watch.
Liverpool has also submitted a £35m bid for Yves Bissuoma and which is a big blow to Arteta's hopes of landing the holding midfielder .
Klopp is also eying a move for Patson Daka who is tipped to replace Sadio Mane if he leaves Anfield in the summer.
Signing the trio will be a massive scoop for Liverpool as they aim to dethrone League leaders Manchester City from the helm next season and mount a serious title challenge.
Kanote, Yves na Daka jamani tutakua hatareeee sanaaaa msimu ujao. Come on Edwards make this happen.
YNWA
firmino aondoke, tunamshukuru kwa mchango wake!Why we need to overhaul the usual front 3 guys.. [emoji116]Here the numbers dont lie.
At present Salah as a mightily impressive 29-goals to his name this season, while Mane and Firmino have struggled in contrast.
Mane has just 13 strikes so far, while Firmino has provided a disappointing 6 goals.
YNWA
😂😂😂😂Kwa upande mwingine ni mbinu zilezile ila wachezaji wa ku execute at 100% ndio shinda ndugu.Kwa mbinu zisizo badilika za kocha nishakata tamaa
Hahaha Bobby anahitajika Atletico Madrid.firmino aondoke, tunamshukuru kwa mchango wake!
Mkuu unaona Werner hafungi lakini analeta shida kwa wapinzani mpaka wanachanganyikiwa. Kai msimu ujao atakuwa mwiba kwa timu pinzani na Kila mtu anajua. Uwezo wa Kepa na Allison kwa Sasa haupishani kabisa. Tena Kepa anazidi kutulia zaidi.Haha yaaani Ollachuga Oc unapataga wapi nguvu hii yaaani wewe unajipoza kuwapoda wachezaji wetu huku huwaoni Kepa, Kai na Werner yaaani hao kwa ela mliotoa kwa kila mmoja mmepigwa ela ndefu sana.
Thiago tulitoa advance usd ya 5m aafu usd15m plus adds on zinalipwa kwa awamu kwa miaka minne.
Jota tulitoa usd10m advance aafu usd30m plus adds on zinalipwa kwa awamu kwa miaka miaka minne
Edwards ni habari nyingine ndugu.
YNWA
Zimeshashitukiwa asaivi hadi Lipuli anatoa sale Anfild.😂😂😂😂Kwa upande mwingine ni mbinu zilezile ila wachezaji wa ku execute at 100% ndio shinda ndugu.
Kwa mbinu hizo hizo na wachezaji kikosi kamili tumepata vikombe vya heshima.
Tumpe benefits of doubt apate kikosi kamili cha kwanza na tutarudi kileleni.
YNWA
Muujiza unaohitajika kwa Liverpool kuingia TOP 4 ni kama ule wa Manchester City kuukosa ubingwa.Kuniambia nisubiri 30 yrs ni kunikosea heshima...Next SEASON...NARUDI KWA FUJO MKUU..MWAKA HUU NAKUBALI NIMEPOTEZA...BT TOP FOUR ..NIPO...MARK MY WORDS.
Nafikiri ni 50/50 blame. Ila kutoka january - march klopp anabeba lawama regardless of injuries ila huwezi kua na phillips bado unaweka hendo na faby cbs. Baada ya kuwasajili kabak na davies huku una phillips ambaye alishacheza mechi 3-4 kwa kiwango kizuri ila bado tu unakomaa faby & hendo beki za kati.Zimeshashitukiwa asaivi hadi Lipuli anatoa sale Anfild.
Mtalaumu wachezaji tu ila mbinu ndo msiba mkubwa.
Sasa kocha yupo na mchezaji misimu mitatu lakini hajui kama atamsaidia kwenye mapungufu mpaka anampanga Hendason beki kweli?
Yaaani Klopp tunae wala haodoki mlisema ana nuksi na Champions League mwishoe mkawa kimya alivyoichukua na sasa mnasema eti mambo ya Dormond.Mkuu unaona Werner hafungi lakini analeta shida kwa wapinzani mpaka wanachanganyikiwa. Kai msimu ujao atakuwa mwiba kwa timu pinzani na Kila mtu anajua. Uwezo wa Kepa na Allison kwa Sasa haupishani kabisa. Tena Kepa anazidi kutulia zaidi.
Kwa ufupi Chelsea inaenda kuwa timu tishio zaidi barani Ulaya na dunia kwa ujumla...
Wakati huo nyie Liverpool kwa Aina ya wachezaji mlonao, Naona kabisa mtaload miaka kadhaa kuja kuunda Tena Frontline matata Kama ya Mane, Firmino na Salah ..maana Hawa washachoka..
Klopp keshafeli na ni muda wa yeye kusepa ..maana huwa anaifanya timu kuwa juu halafu anaiporomosha Tena, angalia Dortmund....
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mkuu pigo alilopata Klopp na back line sio pigo nyepesi hata kidogo aisee tena msimu ukiwa bado mbichi kabisa. Yaani beki chaguo la kwanza la pili na la tatu wote majeruhi sio ishu dogo kwa Klopp. Ukitazama benchi wapo watoto ambao hawana uzoefu wa kucheza EPL wala UCl zaidi ya mickey cups yaaani huu msimu is Klopp worst nightmare kama Kocha. Am double positive he is planning for next season hii ya sasa ni kumaliza ratiba za Ligi regardless where we are finishing.Zimeshashitukiwa asaivi hadi Lipuli anatoa sale Anfild.
Mtalaumu wachezaji tu ila mbinu ndo msiba mkubwa.
Sasa kocha yupo na mchezaji misimu mitatu lakini hajui kama atamsaidia kwenye mapungufu mpaka anampanga Hendason beki kweli?