Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Yaaani siku hawa wakipata UCL mbona tutakoma humu.Umemjibu kibigwa sana huyu jamaa wa City. Hanaga kumbukumbu kabisa.π€ͺπ€ͺ
Hawa FSG ni waumini wa sell to buy hivyo lazima hapa mchezaji mmoja pale atolewe kafara tetesi ni Salah π π π maana sio hawa wa akiba akina Origi tukipata hata Β£50m kwa wote itakua busu la malaika.Liverpool hata next season mtayumba, sioni mkibadilika kutoka ktk hali hii mliyonayo sasa
Front 3 yenu inakosa magoli sana, ili liverpool izaliwe mpya inaitaji ku'spend si chini ya pound laki mbili, wale wamarekani wachumi mno, hawatotoa mzigo wa kutosha
Huyu si yule Hendo mnayempondagaa ama?
Hawa FSG ni waumini wa sell to buy hivyo lazima hapa mchezaji mmoja pale atolewe kafara tetesi ni Salah π π π maana sio hawa wa akiba akina Origi tukipata hata Β£50m kwa wote itakua busu la malaika.
Tuna hali ngumu sana.
YNWA
Kama hii ndio Liverpool ya msimu ujao basi sitashangaa mkichezea vipigo vya hatari kwan mpaka sasa hamnauwezo Wa kumfunga hata Brighton ,Newcastle,lead hata Sheffield anaweza chukua point hapo anfield...Ingekua kutumia ela ndefu ndio kupata ubingwa basi tangu wametua mabilionea wenu hapo Ethad mngekua mabingwa wa EPL tangu 2008 mkichukua kila msimu na hata UCL mngekua nayo lakini mpaka sasa mpo kama hampo UCL.
Ipo hivi Liverpool sisi ni smart buying chini ya Klopp na makombe yanakuja.
Mark my words Liverpool tunarudi katika ubora msimu ujao na hata sasa Kocha wako anasema tishio kwake msimu ujao ni Liverpool sasa kama wewe unajua zaidi ya Pep utajiju [emoji23][emoji23][emoji23].
FSG ubahiri halina ubishi wanasema hawana visima vya mafuta.
Usajili kwetu umeanza mapema dogo Kanoute ametua sasa huyu combination yake na VVD ni noma Yaaaani ubora wa Robbo na TAA utauona msimu ujao.
Furahia sasa maana msimu ujao mtanuna.
YNWA
Zipo tetesi FSG wamekataa ofa ya Β£3b wiki hii.Wazunhu ni wanafiki tu hawana Consistency lakini wangeendeleza yale Mabango ya #FSGOUT pale nje ya Anfueld basi wangelibadilika au wangeiwacha Timu.
Wewe jamaa yaaani unaanza kupiga ramli za 2021 2022 sasa lol...Kama hii ndio Liverpool ya msimu ujao basi sitashangaa mkichezea vipigo vya hatari kwan mpaka sasa hamnauwezo Wa kumfunga hata Brighton ,Newcastle,lead hata Sheffield anaweza chukua point hapo anfield...
Wacha ndoto za mchana ,kama msipo fumua kikosi mnaenda kushuka daraja I promise you ..
Mpira hauna bahati ni kuwekeza ..
Unasema
TAA ,robo, mane,salah ,vvd ,Gomez ,hao ndio walikuwa nguzo ya Liverpool ndio wamewapa EPL +UEFA kama unadhani wao ni robot wanatumia mafuta subili uone next season ...
Yaan kama unasema hao ndio wanaenda kutetea ubingwa next season ,subili utaona mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili inatamani kucheza mpira ila mwili unakata ...
Kama hii ndio Liverpool ya msimu ujao basi sitashangaa mkichezea vipigo vya hatari kwan mpaka sasa hamnauwezo Wa kumfunga hata Brighton ,Newcastle,lead hata Sheffield anaweza chukua point hapo anfield...
Wacha ndoto za mchana ,kama msipo fumua kikosi mnaenda kushuka daraja I promise you ..
Mpira hauna bahati ni kuwekeza ..
Unasema
TAA ,robo, mane,salah ,vvd ,Gomez ,hao ndio walikuwa nguzo ya Liverpool ndio wamewapa EPL +UEFA kama unadhani wao ni robot wanatumia mafuta subili uone next season ...
Yaan kama unasema hao ndio wanaenda kutetea ubingwa next season ,subili utaona mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili inatamani kucheza mpira ila mwili unakata ...
Pambania kwanza top 4 ndio uje ubishane na wanaume ..!Nyie man shity makombe size yenu ndo kama carabao ya jana UEFA msahau. Fainali tunajua ni PSG Vs Real Madrid
Pambania kwanza top 4 ndio uje ubishane na wanaume ..!
30 years loading ...
[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna uwezo Wa kuchukua hata carabao ,unapita na kanga imelowa mbele ya wanaume ambao tunaenda kuwapelekea moto PSG ..Mwanaume ni mimi niliyebeba makombe yote uyajuayo wewe shinda UEFA kwanza ndo uanze kujiita mwanaume kila Mwaka kazi kushindania mickey mouse cups waachie hata na wakina spurs na Aston villa wagombanie hayo ndoo maana UEFA inawashinda tamaa tu
Huna uwezo Wa kuchukua hata carabao ,unapita na kanga imelowa mbele ya wanaume ambao tunaenda kuwapelekea moto PSG ..
Kwanza Kubishana na timu kama Liverpool ni matumizi mabaya ya akili level zangu Madrid ,buyern Munich ,PSG ..
Nyie endeleeni kupambana na Burnley ,Southampton, ndio level zenu nyie ...