Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kama wangeli mtaka mane tungewapa aise FGS katika kosa wasijekufanya ni kumuuza SALAH wasithubutu kabisa. Kupata mshambuliaji wa kuoffer goal anazofunga Salah EPL kwa sasa ni ngumu sanaaaaaa.
Sad Man.

Kwa FSG walivyo ukute kwa Salah wanapata zaidi ya akina Mane na kwa vile wa policy ya sell to buy wanona huyu ndio mwokozi wao.

Will be sad kuona Salah akitolewa aisee huku kwa kweli pamoja na madhaifu yake magoli yake lazima tukumbali yametuweka kileleni.

Pia ni moja wa wachezaji wasiopata majeruhi mara kwa mara kwa mfano Salah asajiliwa dirisha moja Keita lakini mpaka sasa Salah amecheza zaidi ya gemu 190 huku Keita akicheza 93 tu.

Yajayo yanatisha.

YNWA
 
Possible. Mechi mbili za mwisho zilimpeleka united na chelsea CL.

Focus Concetration tusipate injuries yes we can make it... mechi vs Wolves Aston inaonesha atleast moral and fightimg spirit imeongezeka...

Zile mechi tano za home defeat ndio zinatutoa jasho huku mwishoni...

I believe we can make it.
Yani nyie hata Europa mnaweza mkakosa.
 
Inasemekana Klopp hua ana tatizo la kuwaamini baadhi ya wachezaji na inamchukua muda kidogo kuwapanga kikosini tazama mpaka pale situation itamlazimu mchezaji husika kupangwa. Tazama kwa Fabinho, Robbo, Jota, Nats nk wote hao hawakupata dakika kirahisi walisota benchi pamoja na kujituma mazoezini.
Hivyo suala la Nats kutopata nafasi pale alipohitajika ili aidha Hendo ama Fabinho acheze MF is down to Klopp. Hii mbio ya Top 4 kua hatuna uhakika is down to Klopp na his squad selection tuwe wakweli hata yeye amepwayasana msimu huu aidha lile pigo la VVD lilimvuruga ama hakutegemea kabisa hii anguko la Liverpool msimu huu.

Sokoni huu ndio muda sahihi wa kununua wachezaji kwani madhara ya Covid bado yamezikamata timu nyingi na bei za wachezaji sio kama zamani unless kwa specifical talent kama Haland au Mbappe nk.

Kwa kutegemea ile protocol ya FSG sell to buy kwa kweli tutafeli mapema kabisa. Kwa mfano Origi sioni klabu ikipata hio ela wanayosema ya £20m sio zama hizi na kiwango alichonacho kwa sasa.

Wafuatao naona soko linawahusu. I guess kwa hizi bei wataweza kuodoka na kuacha nafasi kwa usajili mpya na payroll ipumue.
Origi £10m
Woodburn £3m
Ojo £3m
Grujic £8m
Wilson £8m
Ox £15m
Shaqir £10m
Adrian free.
Keita £20m
Milner £4m or free.
Rhys loan.
Gini free.
Kwa sell to buy labda mmoja wao hawa front 3 atatolewa kafara
Salah £100m
Mane £80m
Firmino £30m.

Come on Edwards tu sapraizi na usajili wa kueleweka this June 2021.

YNWA
Mane labda 30 app Tena kwa upendeleo.
Salaa 45 mwisho. Labda aende China huko kwa iyo 100
#CFC
 
Mane labda 30 app Tena kwa upendeleo.
Salaa 45 mwisho. Labda aende China huko kwa iyo 100
#CFC
Ina maana nyie kwa Timo £45 vile na Kai £70 vile mlipigwa ela ndugu ama ni vipi.. Kama kweli hizo ndio bei unasema wauzwe hawa wachezaji ambao ni washindi wa makombe ya heshima na wenye uzoefu wa kutosha na sio wanafunzi kama Kai na Timo.

Mane leteni ofa hio ya 30 kama John Henry hajauliza mnavuta nini huko Darajani.

Kabla ya Covid bei ya Salah ilikua inawanunua Kai na Timo na cheji inabaki 😂😂😂😂.

YNWA
 
Mkuu TIMING akisepa huyu tumchukue nani.

Binafsi ningependa Viscious wa Real Madrid zipo tetesi kwa kusaka pesa ya kumnunua Mbappe upo uwezekano Real Madrid wakamuuza.

YNWA
Ni kazi ya klopp

Lakini kwa sasa the whole front three inahitaji serious rethinking, we are predictable

Liverpool haijawahi kukosa washambuliaji... Na dunia haijawahi kukosa washambuliaji, salah alikuja Kama trialist tu na he proved himself

So the same itakua kwa wengine... Mane is another shocker and I think a shift in position and formation may help him, na labda sio ndsni ya timu

Middle style ya Thiago ni nzuri kea playstation, sio mtiti wa EPL

Gini is leaving, milner is aging, henderson is aging, ... Another area ya kuangalia

Not worried much on defence because kabak, vvd, nat, matip are a good numbers

I would move Gomez to right because of pace, shots, and defensive experiences and push trent kwenye middle
 
Leo tu nahitaji intensity ya hali ya juu kumiliki kiungo cha Madrid. Maana kuwamiliki mondric kross na casemiro sio kazi ndogo. Ingawa THIAGO na ma uzoefu ila naona hii game atazingua.
Ningependa Kati kuwe Faby GINI na dogo Jones.
Au Jones Atulie bench halafu firminho arudi nyuma kidogo ili mbele kuwe mane salah na jota.
Au amueke Chambo maana Leo magoli ndo muhimu nachompendea chambo Yeye ni mtu wa mbele zaidi hanaga kuwaza back passed.
 
Chelsea
vs brighton H
vs westham A
vs fulham H
vs man city A
vs Arsenal H
vs Leicester H
vs Astonvila A


Liverpool
vs Leeds A
vs Newcastle H
vs Man utd A
vs Soton H
vs Westbrom A
vs burnley A
vs Palace H

Westham
vs Newcastle A
vs Chelsea H
vs Burnley A
vs Everton H
vs Brighton A
vs Westbrom A
vs soton H

Leicester
vs westbrom H
vs Crystalpalace H
vs Soton A
vs Newcastle H
vs Man utd A
vs Chelsea A
vs Spurs H


Kops, mnaonaje chances zetu kuwepo CL next season? tutaweza kurecover gap ya 3 pts na Westham?

NB/ kwa hizi run-in nimesham-exclude Leicester,
Westham akipoteza ni point 3 au 4, labda mshinde mechi zote kwa mabao mengi ili kupata GD kubwa, ile defence ya akina Kabak na Philips leo wamebana kesho wamepanua kweli bado mna ndoto na UEFA, piganieni Europa kwa sababu hata huko bado mnayo kazi kubwa
 
Ni kazi ya klopp

Lakini kwa sasa the whole front three inahitaji serious rethinking, we are predictable

Liverpool haijawahi kukosa washambuliaji... Na dunia haijawahi kukosa washambuliaji, salah alikuja Kama trialist tu na he proved himself

So the same itakua kwa wengine... Mane is another shocker and I think a shift in position and formation may help him, na labda sio ndsni ya timu

Middle style ya Thiago ni nzuri kea playstation, sio mtiti wa EPL

Gini is leaving, milner is aging, henderson is aging, ... Another area ya kuangalia

Not worried much on defence because kabak, vvd, nat, matip are a good numbers

I would move Gomez to right because of pace, shots, and defensive experiences and push trent kwenye middle
Absolutely to the point nothing less of the this outcome is acceptable.

Hahah Salah was trial and error basis to be honest i even doubted if he was gonna be the beast he has become infont of goalie.

In Klopp i trust this time round he will do the necessary.

In the gossip mills some names keep popping up like
Ismail Sarr from Watford
Traore from Wolverhampton
Yves from Seagulls,
Few kids from German and Ureno.

Mane after covid recovery imekua headless 🐔, he is trying but that not his best. I trust Klopp has solutions for this change of fortunes.

TAA long time anaonyesha akicheza AM atakua more lethal and his defence weakness wont be exploited since Gomez will be playing as RB.

Yajayo yanafurahisha.

YNWA
 
Line up
Screenshot_20210414-210451_Goal Live.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom