TupoWale Wa Hala Madirid tujuane mapema..
TupoWale Wa Hala Madirid tujuane mapema..
Jamani ushahidi huo hapo
Unamuangalia Benzema anavyocheza na unagundua anastahili ile release clause ya 1B.Leo Benzema lazima awanyoe bila maji.
Karim Benzemaaa what a goooooalltunatest mtambo
![]()
Kwa leo bora mane angekua subJamani ushahidi huo hapo
Klopp hataki kukubali kuwa Diogo Jota ana kiwango kuliko Firmino na sasa kwa sababu anampenda sana Firmino basi liwake jua inyeshe mvua Firmino ataanza mara zote namba 9 ,huyo ndio Klopp na mahaba yake kazini
Mkuu tazama vyema rekodi ya Jota ipo vipi Liverpool.Jamani ushahidi huo hapo
Klopp hataki kukubali kuwa Diogo Jota ana kiwango kuliko Firmino na sasa kwa sababu anampenda sana Firmino basi liwake jua inyeshe mvua Firmino ataanza mara zote namba 9 ,huyo ndio Klopp na mahaba yake kazini
Hii sio sawa kwa kweli big players kama Thiago thrive in this kind of games. Kumkosa 1st 11 ni pigo kwake.
Zidane hua anapanga mfumo kutokana na wachezaji walio wazima yaani jamaa ni ngumu kumtabiri kwamba atakuja na mfumo gani. Yupo na 4 4 2 akihitaji compactness. Ama 4 2 3 1, ama kitaka amsha amsha anakuja na 4 3 3.Even the madrid subs looks dangerous
Lawama zote msimu huu zoooooote zipo kwa Pickford kipa wa Everton.Liverpool fan leo tukifungwa lawama tunamtupia nani.
Kwani Keita na Thiago alcantara wapo benchi....![]()
Na mtapangiwa madrid sasa nyinyi wana chelsikWale Wa Hala Madirid tujuane mapema..
Lawama zote msimu huu zoooooote zipo kwa Pickford kipa wa Everton.
Yaaani ni adui namba moja kuturudisha nyuma mnooo.
Nwa tupambane ili tukutane na vijana Tomas.
YNWA



Unaona pasi hazifiki kabisa aisee.Tunacheza na wazee lakin tunashindwa kuwafunga sijui tunategemea nn.