Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hii jezi namba 8 naona ni nzito sana kwa jamaa yetu kiasi kila dogo akipona matarajio ni makubwa mno lakini muda mwingi amekua akirudi pale pale tulipomzoea kama super flop.Sidhani kama tunapaswa kuendelea na Keita.So sad he is going without any remarkable good memory at Liverpool...We can no longer keep on waiting for him to click..Simply his signing didn't meet our expectations...
3 1Washanyooshwa ngap hawa kuku
Fainali ya 2018Kisasi cha nini?
Kwani England inawakilishwa na Liverpool tuhapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......
ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Jisemee wewe Chelsea tunaingia nusu fainali bila wasiwasi wowotehapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......
ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Hii timu lako ndio ulitaka lifike semi finalhapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......
ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Porto wamewakodi West Bromwich mcheze nao kesho.Jisemee wewe Chelsea tunaingia nusu fainali bila wasiwasi wowote
Sawa tuachieni timu yetu sasa.naona unajifariji baada ya mikeka kuchanikaHii timu lako ndio ulitaka lifike semi final
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnabahat nyie kuku tungekutana huko mbele ,mngelia kilio na kusaga meno
SawaPorto wamewakodi West Bromwich mcheze nao kesho.
Wasilazimishe kumpa mtu hiyo jezi.Kama hamna anayestahili kuivaa ibaki tu,atavaa hata kocha atakayemfuata Klopp....Hii jezi namba 8 naona ni nzito sana kwa jamaa yetu kiasi kila dogo akipona matarajio ni makubwa mno lakini muda mwingi amekua akirudi pale pale tulipomzoea kama super flop.
YNWA