[emoji23][emoji23]nusu fainal ip tena jaman[emoji43] kwan ushasahau kwamba nyie mshakua shamba la bibi kila mtu anajiliaCc tuko nusu fainali tunawasubiri endapo mtafanikiwa kuvuka hiko kiunzi cha porto na timu yenu ambayo ukimwondoa ngolo kante umeizika jumlajumla
mna miaka 30 tena ya kuisubir mjenge tim[emoji80]I love Liverpool
I love this team
Kweli nyie noma mnakumbuka ya upande mmoja tu, liver hajawatoa ucl nyie?Angalia huyu naye ..umesahau mlikula bao tatu Pepe Reina anashikwa shikwa na Didier Drogba anageuzwa geuzwa kama chapati? Kweli nyie ndo mamluki wa juzi kati mmekuja baada ya liverpool kupata mafanikio.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sisi tuliwatoa tukabeba ndoo, nyie mlitutoa mkaambulia kuteleza uwanjaniTutawatoa tena halafu tutaenda kubeba usijali mkuu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tuandike kiswahili tu mkuuWe differ in ages, but we the same flock. The brother needs to be informed n that's a task we can manage.
Cheers mate!
Ha ha ha ha duh.... Na penati walipewa wakakosa hao BarcaKibonde? Mtu alikula RED card na akafuzu mbele ya braza mwenye balon D'or zake 5
@nguvu niaje mkuu? Hbr za masiku tele? Wapi Malafyale?Kweli nyie noma mnakumbuka ya upande mmoja tu, liver hajawatoa ucl nyie?
Hatari aisee ila bora chelsea kuliko cty, cty namtaka mechi moja tu final@nguvu niaje mkuu? Hbr za masiku tele? Wapi Malafyale?
Naona kuna uwezekano wa kukutana Liver na Chelsea ktk nusu fainali km watashinda wote ktk robo fainali?
Huelewi kiingereza?Tuandike kiswahili tu mkuu
Na-refer game ya juve na Porto apoHa ha ha ha duh.... Na penati walipewa wakakosa hao Barca
Basi ni ngoja tuje tuone hapo badaeHatari aisee ila bora chelsea kuliko cty, cty namtaka mechi moja tu final
Ndio mkuuHuelewi kiingereza?
Aaah Antonio Conte?Ndio mkuu
NaamAaah Antonio Conte?
Hauko serious kiongoziNaam
Liverpool ni mgonjwa mahututi hakuna asiyejua hilo.Cc tuko nusu fainali tunawasubiri endapo mtafanikiwa kuvuka hiko kiunzi cha porto na timu yenu ambayo ukimwondoa ngolo kante umeizika jumlajumla