ile final ilikua bahati kabisa aisee, hatukustahili kushinda!Waliotea tu kama sisi tulivyomuotea AC MILAN mwaka 2005.
Hapa kumuotea AC MILAN kwa wale walioisoma kwenye Magazeti hii Fainali ya mwaka 2005 najuwa wengi watanipingi lakini kwamimi niliyepigwa na Mvua Kibanda umiza kufuatilia hii game basi nasimamia kuwa hatukuwa na uwezo kimpira wa kumfunga AC MILAN but tuliotea na tukafanikiwa lakini ndani ya dakika 120 tulibana Kende mwanzo mwisho.
Winning is winning bro, it's all about the mentality!
Kama vijana wangeicheza ile game wakiwa na mawazo kama hayo walahi nakuambia wasingeshinda
Ndio maana tunajiita 'the mentality giants'
Mifano iko mingi sana, game yet barca ile ya 4-0, Leicester kubeba ligi, Porto ya Mourinho haswa game yao v man utd, Spain world cup 2010 na mingine kedekede
Usipojiamini hata uwe na kiwango %100 hutoboi, na hii inaaply popote pale
Huyu Matip naona ni wakati sahihi auzwe aisee maana pancha kwake zimekua too much.Kabisa ye mwenyewe anasema alikua hajui hatma yake ila anashkuru mungu mabraza wameumia😂😂😂
VVD anarudi May mosi, Gomez na matip ngoma mpaka mwez wa nane hio tuwasahau tu kwa sasa
Matip alikuja bure kwai ata hasara anayotupa sio mbaya sana, vvd nadhani keshapona sema anakula matizi misuli ikae mahali yake, akirudi io may atakuwepo kwenye kikosi cha final pale IstanbulHuyu Matip naona ni wakati sahihi auzwe aisee maana pancha kwake zimekua too much.
Kuna kipindi PSG walionyesha nia ya kumtaka naona ni wakati sahihi tuachane nae.
VVD na Gomez kusiwe na haraka ya kuwachezesha hata Euro Juni wasishiriki hawa ili kuwapa muda wa kutosha kupona na kuungana na kikosi pre season.
YNWA
Sawa mkuuNadhani Kuotea huitafsiri kimpira bali unaitafsiri ile ya kuotea Mwizi.
Tunapozungumzia kumuotea Mtu kwenye Mpira ndugu huwa kuna factors maalum tunaziconsider.
Hebu kaangalie ile game dakika za mwisho kwenye 118 au 120 uone alichokifanya Shevchenko against Dudek ndiyo utajua hasa tafsiri halisi ya neno kuotea.
Hahahahahah kwann mkuuMwaka huu kama FSG, KLOPP na TOP REDS kama hawakujifunza kitu chochote basi hawatojifunza tena chochote katika maisha yao.
Tutawatoa tena halafu tutaenda kubeba usijali mkuu.Unaijua tofauti yetu (Liverpool) na yenu (Chelsea)?
Sisi tulimfunga Chelsea tukaenda Fainali kubeba Kombe, hivyo umeingia kwenye rekodi ya kuwa tumebeba kombe kuipitia Mgongo wako.
But Chelsea alitutoa sisi hatimae akenda kutanua Makalio kwa Man Chester United akapigwa.
Akaja kututoa tena kwa mara ya pili hatimae akaenda kutanua Makalio kwa Barcelona akatolewa.
Mtapigwa mchakake na madirid..Matip alikuja bure kwai ata hasara anayotupa sio mbaya sana, vvd nadhani keshapona sema anakula matizi misuli ikae mahali yake, akirudi io may atakuwepo kwenye kikosi cha final pale Istanbul
Waulize madrid wanatujua vizuri,Mtapigwa mchakake na madirid..
Kombe litatua London.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Makombe hayatui watu wanacheza wanayachukua kwa hiyo kajiandae na porto najua akilini mwako unadhan ni timu rahisi ila ungekutana na juve ungeona ni timu ngumuMtapigwa mchakake na madirid..
Kombe litatua London.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
😝😝😝❤️❤️❤️Am in love with Istanbul man.Matip alikuja bure kwai ata hasara anayotupa sio mbaya sana, vvd nadhani keshapona sema anakula matizi misuli ikae mahali yake, akirudi io may atakuwepo kwenye kikosi cha final pale Istanbul
Istanbul, Ataurk, here we come ....😝😝😝❤️❤️❤️Am in love with Istanbul man.
Got to be positive.
Istanbul we are coming comrades.
YNWA
H2H Porto katufunga game mbili tu ..huyo ni underdog tu ..game tunamalizia pale pale Ureno ..nyie tunawataka japo tunajua kumpiga Madirid ni uwongo.Makombe hayatui watu wanacheza wanayachukua kwa hiyo kajiandae na porto najua akilini mwako unadhan ni timu rahisi ila ungekutana na juve ungeona ni timu ngumu
Sasa nikupe siri ambayo ww mwenyew unaijua
PORTO NDIYE ALIYEMTOA JUVENTUS
juve uyuyu aliefungwa na benevito[emoji16][emoji16] pirlo n arteta mwenye ndevu no tactics just a vibeMakombe hayatui watu wanacheza wanayachukua kwa hiyo kajiandae na porto najua akilini mwako unadhan ni timu rahisi ila ungekutana na juve ungeona ni timu ngumu
Sasa nikupe siri ambayo ww mwenyew unaijua
PORTO NDIYE ALIYEMTOA JUVENTUS
Cc tuko nusu fainali tunawasubiri endapo mtafanikiwa kuvuka hiko kiunzi cha porto na timu yenu ambayo ukimwondoa ngolo kante umeizika jumlajumlaH2H Porto katufunga game mbili tu ..huyo ni underdog tu ..game tunamalizia pale pale Ureno ..nyie tunawataka japo tunajua kumpiga Madirid ni uwongo.
Umesahahau leo hii Fainali 2018 ulikunywa Tatu ..Madirid pale wamepata mteremko.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
All the best Gini.