Nyie Liverpool naomba tu mkutane na porto ,ili final tukutane ,tuwanyooshe tena ....tuwaoneshe kuwa hatukubahatisha kuwapiga zile goli NNE
Katika hali yetu hii ngumu nadiriki kusema nyie tunawamudu na tutawatumia kama daraja letu la kuiona nusu fainaliHahaha angalia wewe kuwa makini na unachokitamani.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Nyie Liverpool naomba tu mkutane na porto ,ili final tukutane ,tuwanyooshe tena ....tuwaoneshe kuwa hatukubahatisha kuwapiga zile goli NNE
Jipe moyo.Katika hali yetu hii ngumu nadiriki kusema nyie tunawamudu na tutawatumia kama daraja letu la kuiona nusu fainali
Sio murudi ndio mushafika hapo.Mimi namshukuru Mungu kwa upande wangu hakuna jipya ninaloliona kwa sasa kwani Nimeshashuhudia wakati mbaya zaidi kwa Liverpool kuliko huu uliopo sasa.
Hali hii just ni ukumbusho tu kuwa tuwe tayari muda wowote kwa lolote kwani tunaweza kurudi tulikotoka.
Chelsea tunaenda fainali[emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwatoa hao tunakuja kucheza na chelsea au Porto
Nyie Liverpool naomba tu mkutane na porto ,ili final tukutane ,tuwanyooshe tena ....tuwaoneshe kuwa hatukubahatisha kuwapiga zile goli NNE
Chelsea tunaenda fainali[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa hivi hamuwezi kufunga chelsea Chelsea mabingwa wapya wa uefa 2021[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo upande ni mwepesi kabisa,Liverpool to the final Istanbul
Nikikutana na Liva nusu fainali nitapiga kipigo cha mbwa koko.Huo upande ni mwepesi kabisa,Liverpool to the final Istanbul