Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna siku Don Clericuzio alihoji kuhusu usajili wa hawa KABAK na DEVIES kuwa Je, ndiyo wachezaji wa kutupa Makombe EPL na CL?
Dah! Wanazi walimuona anamkosoa Klopp ambaye anajua zaidi kuliko Don.

Naamini wameshaanza kuelewa

Hahaha, acha mzee.

Niliambiwa habari za kina Robertson, Gini, Robbo nk. Kwamba na wao walikuwa hivyo.
 
Watu tunajisahau sana
Hivi teams kama Man City au Man U au LC mwaka jana zilifanya nn la maana wkt Liva anachukua ubingwa mechi 8 mkononi?
Hii ni soka ina ups and downs
Livapool HALISI tuendelee kuwa nyuma ya Klopp,kila team ina mapito EPL hamna jipya ambalo Liva anapitia leo hazijapitia teams zingine
 
Hahaha, acha mzee.

Niliambiwa habari za kina Robertson, Gini, Robbo nk. Kwamba na wao walikuwa hivyo.
Aaa kumbe upo.
Hivi kuwa tapeli na uongo unakusaidia nini?Hiyo pesa ni ndogo sana kwa aina ya mtu uliyemfanyia.

Halafu ulikuwa unataka namba yake ya nini sasa?Na wewe awe anakupa hela kama mie?


.
 

Kaka kama ninaielewa vizuri definition ya excuse basi wanaotafuta excuses ni wale wanaosema tunafungwa kwasababu hatuna VVD, Hendo anachezeshwa nje ya Sehemu yake, na blah blah nyingi! Lakini mimi nilishaweka wazi kuwa hakuna kisingizio bali hili Timu ni bovu.

Kuhusu Thiago nilishaweka wazi kuwa niliacha Tabia ya kulaumu mchezaji mmoja mmoja kwani Timu nzima ni mbovu mpaka mbinu za kocha zisizobadilika pia ni mbovu.

Kwasasa mimi nimejikita kwenye kukosoa usajili tu, hivyo kwa Thiago mimi sina sababu ya kulaumu usajili wake kama nilivyokuwa silaumu usajili wa Keita na OX ingawa ni Failed projects. Unajua kwanini?

Ni kwamba sikuwa na Uchawi wowote wa kuniwezesha kujua kuwa wachezaji hawa wakija Liverpool watafeli.

Hata kama unamchukia vipi lakini huwezi kubisha kuwa Thiago wakati yupo Bayern alikuwa ni WC na best Midfield, kufeli Liverpool sio kipimo cha kulaumu alikotoka. Lakini sajili ya Mtu kama Mfano Ben Devies hii ni Wazi kuwa tumeokota tu huku tukijua hawezi kutusaidia chchote.
 
Mkuu bado point chache tu tumtoe city pale juu ..hilo liko wazi kabisa mkuu ..hiyo kazi tuachieni sisi kwa kuwa nyie mumeshindwa, basi hawa city boys hawafiki popote ..kufikia april kila kitu kitakuwa katika mstari unaotakiwa ..maneno yangu bado yapo pale pale .."sisi ndio mabingwa wa EPL msimu huu wa 20/21" tutawashangaza kweli kweli.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sasa bila kificho nadiriki kusema wazi kabisa usajili wa THIAGO AĹCANTARA ni usajili ambao hauna faida kwa Liverpool.

Tumepigwa za uso Mchana kweupe.

Eheeee! Hivi ndiyo inavyotakiwa na ndiyo maana sahihi ya kuwasilisha mawazo yako. Usisubiri mawazo yako akuwasilishie Mtu mwengine.
Hapa umefanya la maana sana kukosoa kile unachohisi hakikua sawa! In case tukijafukua makaburi unakuwa wewe kama wewe.

Chamsingi ukikosoa mawazo yako yawe huru, usikosoe tu kwasababu kuna Mtu kamkosoa mchezaji ambaye unahisi hakupaswa kukosolewa ndio ukaamua kujibu mapigo na wewe kukosoa ambaye yeye hajamkosoa! Huko si kukosoa kimpira bali ni visasi.
Mfano Mtu aonapo tu anakosolewa Origi ndiyo nayeye anakuja na makala ya kukosoa wengine. That's not a football.
 
Sasa bila kificho nadiriki kusema wazi kabisa usajili wa THIAGO AĹCANTARA ni usajili ambao hauna faida kwa Liverpool.

Tumepigwa za uso Mchana kweupe.
Thiago tumepigwa boss.
Jota naona wazi wazi tulipigwa.
Minamino nako hivo hivo ila bado kuna namna ya kufidia hasara
Kwa ufupi huu msimu tumepigwa hahahahahahahahahahaha..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Kauli hii ya "Hakuna mchezaji atakubali kucheza second fiddle kwa Salah, Mane au Firmino" ikimaanisha kwamba hawa ndiyo wachezaji bora Duniani hakuna wa kuwazidi uwezo, nimegundua kuwa hayakuwa mawazo ya wanayoisema bali ni Watu waliokuwa Brainwashed na wale MosDef anaowaita Top Reds.

Top Reds walioanzisha kauli hii kwa lengo la kuwalinda FSG na Wachezaji wao vipenzi ili wasijekusajiliwa wachezaji wazuri wakachukua namba zao.
Hivyo washabiki wa Liverpool waliokuwa fooled na hii kauli wakawa wanaitumia kila sehemu.

Baadae wakataka kumtoa Kafara Salah juu ya kufungwa kwetu, sasa wanataka kumtoa Kafara Thiago kwa kufungwa kwetu.
 
Mkuu upo siriazi kabisa unamtoa Manchester City pale alipo hivi ni kwenye play station ama hii ligi hii unayogombania kuingia Big 4.

Huo uwezo hamna ndugu sio wakati huu.

YNWA
 
Hahaha, acha mzee.

Niliambiwa habari za kina Robertson, Gini, Robbo nk. Kwamba na wao walikuwa hivyo.

Kauli kama hizi ndiyo zinazofanya sote Washabiki wa Liverpool tuonekane ni wa kukariri tu! Kwasababu tu Watu wamekariri Gini na Robbo walitoka Timu zilizoshuka Daraja basi imehalalisha kila tunayeokota kwa Vibonde ndiyo atakuwa kama Gini na Robbo.

Hivi kwasababu tu Suarez tulimnunua Ajax ndiyo kila tutakayemnunua Ajax atakuwa kama Suarez?

Watu tuache kukariri haimaanishi Relegators wote ndiyo wanawamiliki kina Gini na Robbo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…