I said right from the beginning of the season and I have been saying the same weeks after kwamba our biggest threat was always going to be Pep. Ni vile tu sisi wenyewe tushajichanganya hapa kati.Hapana chezea Big Sam....
Hawa bado sana presha ya kukaa pale hawawezi kuhimili.
YNWA
Kwa upupu wa beki inayoongozwa na Henderson, bora wapumzike tu milner/tsimikas acheze kushoto na neco acheze kuliaMkuu Trent na Robbo wapo hoi hawa niwakupumzishwa lakini je nani acheze hizo nafasi zao na ukumbuke Klopp anamshambulia kutumia flanks na msimu huu asilimia kubwa ni kupitia upande wa Robbo..
Tsimikas pengine ni wakati aanze kupata dikika saa ili Robbo ajikusanye vwa kutosha mechi zimebakia EPL 14 na za UEFA na sio za kupoteza kama tunahitaji kubakia BIG 4.
In the meantime
Bayern Munich are stepping up their pursuit of Norwich City right-back Max Aarons... Huyu dogo kwa kweli angetufaa sana upande wa Trent.. Bayern na Barcelona wameonyesha nia kumdaka sioni tena kama tunaweza kumpata maana Neco sio EPL material bado anahitaji acheze kwingine kwa mkopo hata misimu miwili hivi.
YNWA
Mtoto Pendwa wa Klopp sasa kimya zile sifa zake tukishinda sasa hakuna ajabu hata lawama hapati zinapelekwa kwa wengine yeye wala haguswi.. Utawasikia tunamkosa Hendo pale kati ndio maana tunapigwa, wengine tunakosa kiongozi pale nyuma ndio maana tunapigwa sasa unajiuliza huyu kiongozi bora Hendo ni kiongozi tu akiwa MF...Kwa upupu wa beki inayoongozwa na Henderson, bora wapumzike tu milner/tsimikas acheze kushoto na neco acheze kulia
Challenging Manchester City is not a walk in the park, hawa Stretford boys waliongoza ligi wakaanza na kuota ubingwa bila kutazama nani anawakimbiza kimya kimya....I said right from the beginning of the season and I have been saying the same weeks after kwamba our biggest threat was always going to be Pep. Ni vile tu sisi wenyewe tushajichanganya hapa kati.
Hawa kina Rodgers, Ole, nk - they don't have what it takes to cruise a team through a title run-in phase.
Come April, am 100% certain they'll all spectacularly collapse. Pin this post and come back in May to challenge me!
Chamberlain ondoa, Chelsea isingemchukua nuksi huyo. Alishawahi kusema akiwa Arsenal kuwa anaichukia Chelsea ndani ya damu yake, sasa boga kama huyo tumpeleke wapiUnaposema timu kubwa unaamisha timu zipi..
Kwanza hilo la kuweka ofa ni siri ya wahusika na ukumbuke haya yote hayasemwi na wachezaji husika mbali ni bla bla za magazeti na mitadao..
Kwa miaka ya hivi karibu Stev G alibakia Anfield pamoja na kutakiwa na Real Madrid na Chelsea.
Surez alibaki Anfield pamona na kutakiwa na Arsenal na Barcelona.
Bobby Firmino alichagua Anfield badala ya Stretford boys kuleta bla bla.
VVD alichagua kusubiri nusu msimu atue Anfield huku Chelsea kipindi kile wakiwa wamefika bei.
Allison aliichagua Anfield huku nao Chelsea wakiwa wamefika bei.
Mane simu moja tu ya Klopp ilmleta Anfield na kuwakacha Stretford boys..
Chamberlain aliwagomea Chelsea na kutua Anfield.
Elliott alipata ofa kutoka Chelsea, Spurs, Manchester United lakini mwishowe alitua Anfield.
Keita nae Bayern, Barcelona walikua wanamnyatia lakini alichagua majogoo wa jiji.
Klopp alifuatwa na mpaka Babu Fergie akumbali kutua Stretford boys lakini alwagomea na kusema hajaamua wapi atafanya yupo mapumziko na mapumziko yalivyoisha akatua Anfield na kushinda makombe yenye hadhi yote akiwa na Majogoo.
Stefan Bajcetic ametua January akitokea Celta Vigo huku akiwapiga chini Manchester United na Barcelona na kuchagua kuja Anfield.
Kwa haraka haraka nawakumbuka hao.
Ifahamike pia hawa wachezaji ni wafanya kazi hivyo kwao maslahi ndio chaguo la kwanza wapi anatua, cha pili kucheza mashindano ya Uefa na kingine ni aina ya kocha aliepo klabu husika kwa mfano Thiago inasemekana ndoto yake ilikua acheze chini ya Klopp hivyo Manchester City na Manchester United walimkosa kwa sababu hio..
YNWA
man u hivi mlikuwa mnataka kwel ubingwa au zilikuwa n akili za pombe tu???[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuwa kama li baunsa shoga misuli minene kazi haina [emoji1][emoji1]Oyaa mmemkuwa watamu siku hiziii.. mnaliwaa hatarii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamekuwa kama li baunsa shoga misuli minene kazi haina [emoji1][emoji1]
Manure hana ubingwa leo Wala keshoKwenye soccer lolote linaweza tokea.
Hivyo ni mapema sana kuamini City atachukua ubingwa.
Hizi ni hotuba za msibani kufarijiana tu hazibadilishi ukweli, City bingwa msimu huu either tupende au tusipendeKwenye soccer lolote linaweza tokea.
Hivyo ni mapema sana kuamini City atachukua ubingwa.
Hizi ni hotuba za msibani kufarijiana tu hazibadilishi ukweli, City bingwa msimu huu either tupende au tusipende
Chamberlain ondoa, Chelsea isingemchukua nuksi huyo. Alishawahi kusema akiwa Arsenal kuwa anaichukia Chelsea ndani ya damu yake, sasa boga kama huyo tumpeleke wapi