Gomez that CrapMkuu pale nyuma bila VVD na Gomez tunaishi kwa nguvu za Mola hawa wengine tunabahatisha..
Hiii gemu ilikua Klopp awaanzishe Kabak ama Davies na si vingine..
Honestly am at peace sikutegemea zaidi ya haya ya leo na nilovyomuona tena Milner nikasema kweli we are doomed.
YNWA
Mkuu usijali, Bundi anakaribia kumalizia kiota kwa the Citizen, just wait and see. Andaa popcorn zako. Man U bingwaMnafanya nini liver aise, dah, ila hata nikiwatukana haisaidii ..sisi man u ubingwa ndio basi tena
Walio ingia hawana shida. Kama kipa anagwa mpira kwa maadui hata ungeweka akina Messi wanne mtafungwa tu.
KIPA a napiga magoti kudaka shuti linalopaa Sasa wakina milner wafanye nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnafanya nini liver aise, dah, ila hata nikiwatukana haisaidii ..sisi man u ubingwa ndio basi tena
Unsjitoa ufaham sio?Pep pigaaaaaaaaaaaa Hilo zee mpaka akili imkae sawa.
Sasa kama kaanza 2009 wakati msimu wa 2012/2013 Man U alikuwa BingwaNachoshukuru katika uhai wangu toka nianze kuishabikia Liverpool mwaka 1998 hadi 2020 nimeshuhudia timu yangu ikichukua ubingwa wa epl mara 1 tu
Simlaumu klopp kwa kwel kaz aliyoifanya n kubwa sana haya n mapito tu
Nikilalamika sana vp kuhusu shabik wa arsenal aliyeanza kuishabikia mwaka 2009 atasemaje na hali ya timu yake ilvyo japo inauma sana naziona tano hapa
Acheni kumtoa Kafara Milner ndugu zanguni ,mbona mnamfumbia macho Gini na Klopp wake ?Hivi kazi ya Milner kama leo haswa ni nini jamaa..
Why take young Jones off and bring in muzeee...
Again Klopp getting the system wrong..
YNWA
Washamba kweli kuku nyie.
Ndio munamkomoa nani?
Umeona nimeandika lugha gani??Kwa lugha gan??
City bila mpira ni hatari sana yaani wapo fasta na wanajua wanachokitaka...
Doesn't add up why the excellent Jones amekuwa substituted. Firmino alikuwa anarukaruka tu pale mbele goddamn it!Hays yanayotokea kwa Kipa ni sababu ya kushambuliwa kumbuka kuwa Man City hawaondoki golini kwetu.
Sasa tunaitafuta sababu ya kushambuliwa ndiyo hapo tunalaumu Sabs za kina Milner wakati Jones alikuwa anacheza vizuri tu