Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hivi Manchester United kweli wana ndoto kabisa kumshusha Pep kileleni haha nwei ni msimu wa maajabu lolote lile linawezekana aisee japo kwangu naona ngumu sana...Niwambie tu Washabiki wa Man United kuwa sisi Liverpool hatuna uwezo wowote wa kumfunga Man City hivyo atatufunga tu hata tufanye nini, kwahiyo tafuteni njia nyengine ya kupunguza game la points na Man City na si kupitia mechi yetu.
mkuu ata kama adui yako mwombee njaaa ila sio liver ashibe hapo bora jiran ashinde tu sio mtaniDuh, bro una roho mbaya, kama meli ya sumu!
Uko tayari utoke nje ya top 4 kisa tu Manchester United asichukue ubingwa!
Sasa sisi mashabiki wa Manchester United tuna sema hivi, tumekuteua wewe ndio umtulize City hapo kwako.
Hiyo utake usitake.
Na siku hiyo kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu nitakushangili na kubana peke zangu kwa uchungu kuhakikisha unashinda.
Nakuomba usiniangushe.
Unakuaje looser wakati una vikombe vyote vyenye heshima duniani?Sio kweli, labda nyie looserful tu, mbona timu nyingi zimechukua back to back
Wewe Klopp ni mume wako.Kocha huyu aliye chukua ubingwa mechi 8 mkononi leo ndiyo tatizo?
Pep ali ondoka kwenye ubingwa 2019/20 mwezi Dec tatizo lilikuwa nn?
Kupoteza EPL ni kupoteza haijalishi unapoteza kwa nani!
City huyu hajamfunga yyt 6 top teams msimu huu wao tatizo ni nn?
(Hajamfunga Liverpool,Man U,WHU,LC na Spurs)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Klopp ni mume wako.
Wewe Klopp ni mume wako.
Fergie the great hivyo vitimu vidogo ndio vilikua vinampa ubingwa ndugu na sio kuwachapa timu kubwa hata sisi msimu uliopita vitimu vidogo tulivipiga mno mzunguko wa kwanza unaisha vilikua vinaomba po...Big mechi tuko vizuri,hivi vitimu vidogo ndio tatizo.
Duh, bro una roho mbaya, kama meli ya sumu!
Uko tayari utoke nje ya top 4 kisa tu Manchester United asichukue ubingwa!
Sasa sisi mashabiki wa Manchester United tuna sema hivi, tumekuteua wewe ndio umtulize City hapo kwako.
Hiyo utake usitake.
Na siku hiyo kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu nitakushangili na kubana peke zangu kwa uchungu kuhakikisha unashinda.
Nakuomba usiniangushe.
Wewe Klopp ni mume wako.
Hahaha na siku nyingine akasema nyasi mara barafu yaaani mbona ishu dogo tu ni kwamba drill walizofanya labda za vs Manchester City na sio vs Seagulls...
YNWA
HahaaaaaaManchester City akitoka salama hizi mechi 5 zijazo basi ubingwa wakabidhiwe mapema kabisa wengine tujipange kwa msimu ujao..
Liverpool vs Manchester city on 7February
Manchester city vs Tottenham on 13 Feb
Arsenal vs Manchester city on 21 Feb
Manchester city vs westbrom on 27 Feb
Manchester city vs Manchester United on 6 march
YNWA
Yeye mwenyewe anayaogopa majogoo.
Nani hayaogopi majogoo?
Points 15 mkijitahidiLiverpool next EPL 10 fixtures.
Feb 7: Liverpool vs Man City (H)
Feb 13: Liverpool vs Leicester (A)
Feb 20: Liverpool vs Everton (H)
Feb 28: Liverpool vs Sheff Utd (A)
March 6: Liverpool vs Fulham (H)
March 13: Liverpool vs Wolves (A)
March 20: Liverpool vs Chelsea (H)
April 3: Liverpool vs Arsenal (A)
April 10: Liverpool vs Aston Villa (H)
April 17: Liverpool vs Leeds (A)
YNWA
Yaani kwako atadraw! Really??City
Anadraw na Liver ( 0-0 )
Atamfunga Tote ( 2-0)
Atamfunga Ase8 (3-0)
Atamfunga Westbrom (1-0)
Atamfunga Nyumbu ( 2-1)