Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Vibonde vinatoka na clean sheet anfield

Aiseeee ni jambo la kutafakali

Liverpool vs burnely (0-1)

Liverpool vs brighton (0 -1)


Je hizo timu ziko na CB wakali kiasi kwamba kina salah hawaoni lango ?

Au klop hana mbinu kwa timu inayojilinda
Aisee timu nyingi zimetujulia kuwa wakipaki Basi klop lazma afeli
 
Toka mtolewe bikira sahv mnagawa uroda geto kwenu watu wanajipigia tu
 
Timu hua ikishachukua makombe yote,hua ile njaa ya ushindi unapotea,wachezaji wanaona wana kila kitu.
Timu sasa inabidi ianze kutengenezwa upya. Nusu ya wachezaji waondoke damu mpya ije ambao hawana medali yoyote.
Kwa wachezaji hawa hawa hatutaona mabadiliko yoyote
 
Thers is a problem somewhere we must accept the truth kwamba kumfunga Brighton doesn't need VVD au FABINHO.

Ukiangalia ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa hizo timu tunazohangaika nazo ukilinganisha na wa kwetu tunawaacha mbali.

Kitu pekee tunachokizungumza ni mbinu.
 
Swala ni moja tu tukikutana na team inayojilinda (kupak bas) hatufurukuti...totenham alifunguka tukashinda akaja westham akafunguka tukashinda leo wamekuja watu wanaokaa 7 kwenye boksi wanasubir kupiga counter na hatujafurukuta
Na keita ndo anaweza kuzifunguaga hizi timu but ndo hivyo tena yuko hospital
 

Kocha huyu aliye chukua ubingwa mechi 8 mkononi leo ndiyo tatizo?
Pep ali ondoka kwenye ubingwa 2019/20 mwezi Dec tatizo lilikuwa nn?
Kupoteza EPL ni kupoteza haijalishi unapoteza kwa nani!
City huyu hajamfunga yyt 6 top teams msimu huu wao tatizo ni nn?
(Hajamfunga Liverpool,Man U,WHU,LC na Spurs)
 

What a trash?
What a rubbish?
Kwa hiyo Klopp afukuzwe?
 
Liverpool HALISI nawaomba tuendelee kuwa karibu na team,tuwaachie hawa Liverpool MASLAHI waendelee kutukana team!
In Klopp we trust
 
Unamaanisha Liverpool siyo? Maana kuna timu kibao ambazo zimekuwa kwenye peak kwa muda mrefu na kupelekea kuchukua ubingwa mfululizo. Sasa ninyi ubingwa wa msimu mmoja tu, wachezaji wanakosa sababu ya kuwa kwenye peak?!?
 
Vip city atafungwa na man u atafungwa na everton, arsenal , chelsea na liverpool nyie mtakuwa mabingwa?
 
Sio kweli, labda nyie looserful tu, mbona timu nyingi zimechukua back to back
 
Mpaka mseme kwanini mlibeba ndoo kwenye korona season na mbeleko VAR msimu ulioisha
 
Against Burnley you said we lost a game because there wasn't HENDO inside the pitch, Today HENDO was in starting line-up but I bet someone will say "We lost because Mane didn't play".
Ridiculous
From being heroes to BHA"s laughing stock! We are finished man!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…