Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp and Michael Edward need to have a serious think before the summer transfer window opens about selling our injury prone player.

Matip, Keita ,Shaqiri and maybe even Chamberlain need to be sold. We need to find replacements for them as soon as possible.
 
Gerrard alikuwa overrated, sikuwahi kumkubali.
 
Hii team bana

Inasajili watoto wa bei chee ,kama wauza mitumba wa manzese aiseee...

Lin CB wa maana akanunuliwa euro mill 2 au 3

Hahaaaaaaa


Timu masikin sanaaa hii
 
Unataka tugeuke Man City kumnunua Stones kwa £50M wakati ni sawa Lovren tuliyemuacha?
Mkuu stone ndio ukuta wa etihad kwa sasa

Utaona kama kina salah ,mane na boby kama watapita ....


Dias ,stone ile ni pesa na kazi zao zinaonekana


Clean shit za kutosha tunachukua kwa sababu yao....
 
Hata hivyo mchezaji asijione hana m badala mpaka awe na kiburi na kumpunzisha inampa nguvu ya kuanza upya au itasaidia yule msaidizi wake kujiamini pindi apatapo dharula.

Mfano sasa hivi hizi mechi 2 walizo anzishwa Shaq na Origi huyu ni kama vile alishakata tamaa kama atapangwa tena.
Origi mfumo wa 3 3 si rafiki kwake anajitahidi tu kufikia malengo ya mwalimu asili yake ni mshambuliaji wa mwisho
 
Hivi mkuu uuze baka up ya mtu kama philips unategemea nini?
 
Sky sources:

Ozan Kabak to lfc is almost a done deal! He signed his contract (loan plus option) just moments ago. Loan fee: 3m€. Option to buy: up to 30m€. Now the files need to be uploaded @FIFAcom and then we have the green light ✅👍🏻 #DeadlineDay

YNWA
 
Rys, Neco na Gomez ni ngumu sana kuwauza...... vijana na ni waingereza! btw wote ni wazuri kuwa backup
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…