Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahaha Hendo again and again seems this will never cease... He is the club CP has to wear that armband with steel and ruthless attitude....Kuanzia mechi ya leo yapaswa tushinde at least 10 games consecutively. Hii inaweza kutokea tu pale Fabi & Hendo wakiwa fit. Tupende tusipende, hawa 2 ndiyo nguzo kubwa za timu yetu kwa sasa.
Natamani sana niwe critic wa Hendo lakini kwa misimu hii 2 mfululizo (esp last season) nashindwa kupata sababu nianzie wapi!
Kwa nini natamani kum criticize Hendo? Ni vile nilitamani angekuwa ana possess zile "spectacular specials" za Stevie G. Lakini kwa upande wa performances, anazo positive stats nyingi sana zinazom-back. A lot!
Hendo anacheza basic (not spectacular finesse) football with exemplary consistence. Ni yeye ndiye anayetufanya tuwe na solidity & graft pale kwenye engine room. He is like Darren Fletcher was under babu Fergie. Unsung hero....... ndiyo maana huwezi kumkuta kwenye list ya Ballon D'or contenders hata siku moja.
Kingine, yeye ni mchezaji kiraka - pale dimba la kati anaweza kucheza kama AM au DM. Kwenye defense, nafasi ambayo sijawahi kumuona akicheza ni ugolikipa tu - nyingine zote anacheza vizuri as if ni natural positions zake.
Matusi na mapovu ruksa but mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tu wajameni!
Kweli Liverpool wanataka Wolverhampton washuke daraja haha..Uwezekano wa kumsajili Romain Saiss Centre Back kutoka Wolves upo kwa asilimia kubwa sana
Kuna habari Mane kapata knocks na kucheza leo ni 50/50,lkn habari hazijathibitishwa.
Tuendelee ku support team yetu muda ukifika
Kweli Liverpool wanataka Wolverhampton washuke daraja haha..
Saiss hakucheza jana ni majeruhi...
Amegoma kuongeza mkataba nadhani Juni atakua huru hivyo kuliko aodoke bure bora waambulie chochote kutoka kwetu japo Wolverhampton wanaweza kuongeza mwaka mmoja..
Ana miaka 30 pale nyuma anacheza pote CBR CBL RB hivyo kwa Klopp anamfaa na kwa vile umri umesogea anaweza saini mkataba wa miaka miwili..
Japo binafsi ningependa zaidi wakomae kwa Diop ana umri ule wa FSG policy haha yaani with future resale value..
Muda utasema majina ni mengi mno yanatajwa huku Edwards akiwa bila shaka bizy kuona anadaka CB wa kuingia 1st 11 direct..
Give us Diop...
YNWA
Nimeona pia mashabiki wa 🛠 wanasema tuwape Origi huku Diop akihamie kwetu..Kinachochelewesha ni kwamba FSG wanatafuta Cheap Option, kuja kwa Saiss kutasababisha Origi aende Wolves kwa Mkopo.
Hivi kwanini injury zimekuwa chama kubwa sana kwetu kwa sasaLIVERPOOL TEAM NEWS
Team to play West Ham:
Alisson, Robertson, Alexander-Arnold, Henderson, Phillips, Milner, Thiago, Wijnaldum, Salah, Shaqiri, Origi.
Subs: Adrian, Kelleher, Firmino, Oxlade-Chamberlain, Jones, Minamino, Tsimikas, R Williams, N Williams.
Mane hata benchi hayupo..
YNWA