Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe hasa ulikuwa unatakaje? Tufungwe? Imekula kwako na natamani moto huu huu uwakute Manure FC pale OT tuwanyonyoe!

Mshabiki wa Arsenal huyo anakuwaga Mchambuzi na Mpiga Ramli at the same time.
Lakini anakuwa makini ndani ya dakika 90 kutojionesha Ramli yake ili asijekosea Ramli yake lakini anataka tufungwe.
 
Wewe hasa ulikuwa unatakaje? Tufungwe? Imekula kwako na natamani moto huu huu uwakute Manure FC pale OT tuwanyonyoe!
Mi nilitaka msuluhu.

Bale nilitaka kujua kama ana spark kwa muda alioingia na spurs ya siku hizi ikifika dk ya 70 wanakua nyanya sikutarajia magoli.
 
Mshabiki wa Arsenal huyo anakuwaga Mchambuzi na Mpiga Ramli at the same time.
Lakini anakuwa makini ndani ya dakika 90 kutojionesha Ramli yake ili asijekosea Ramli yake lakini anataka tufungwe.
Mi nilishasema nataka msuluhu.

Ila mimi hua nasema mapema hata saa 5 kabla.
 
Hakuna mabadiliko makubwa sana ya kimfumo bali kumeonekana mabadiliko ya baadhi ya wachezaji hasa TAA.
Pia tumeweza kutumia nafasi tulizozipata nalo limepelekea kupata ushindi.
Kitu tofauti jana Thiago alikuwa kama number nane fulani hivi alisogea mbele na Firminho alikuwa na link vizuri kama zamani. Mimi naamini siku defenders wetu wakirudi captain na Fab watacheza mbele ya beki zetu na Thiago atakuwa 8 nyuma ya strikers maana ana uwezo wa kukaa na mpira na kupenyeza pasi. Nilikuwa na imani tunapita kipindi kigumu tu lakini team sio nzuri. Liverpool history yetu uvumilivu na kusupport team mwanzo mwisho.
 
Its a very sas scenario... Jamaa kaharibu sana timu yaani raisi ajaye ana kibarua sana namna ya kurejesha afya ya timu kipesa...

YNWA
Ndio hapo utajuwa chuki ya UEFA kwa team za EPL, hapo ingekuwa Liver, CIty au Arsenal ungesikia hatua zinachukuliwa ila hawa wametumia kuliko kipato kwa asilimia mia lakini husikii UEFA kimyaa kama hawaoni. waliisakama City sio kwa madeni bali kutumia pesa za mwenye team tu kuliko income sasa utasikia kama watasema kitu. kimyaaaaaa
 
Kuna upendeleo fulani Uefa kwa timu za Spain kwneye haya mambo...

Hata Real Madrid hali tete sana...

Huu ndio ulikua wakati sahihi kwetu ku pointi wachezaji vipaji na kuwasajili kwani ushindani sokoni unakua sio mkali sanaa...

YNWA
 
I was right but next game v/s Westham sisemi kitu kwani sijawa na uhakika Kuwa tumeshapata ufumbuzi wa kucheza na Vibonde.
Milner kama Milner janaa utadhani ana miaka 25 kumbe 35 haha...

All round better performance hii ndio nguzo yetu tukicheza kama timu tunakua unstoppable..

Jana we played as a unit...

Feels really cool getting back the winning spirit huku next game but one ikiwa ni the Citizens...

Now 🛠 here we come with a mission..

We take one game at time..

YNWA
 
Tujipe muda kidogo
 
Hakuna mabadiliko makubwa sana ya kimfumo bali kumeonekana mabadiliko ya baadhi ya wachezaji hasa TAA.
Pia tumeweza kutumia nafasi tulizozipata nalo limepelekea kupata ushindi.
Jana .... Robertson hakupanda Sana nmeona incidence mbili tu za yeye kupanda

Shape ya defense imekua nzuri Sana

Tunahitaji beki tu aisee ...

Goal la pili nmeona contribution ya Thiago kucontrol mpira
 
Wananzengo Samahanini Toka tufungwe home tumecheza Tena?
Nipo makalioni mwa Dunia kabisa Sielewi chochote
 
tukibahatika pancha Keita akacheza mechi zilizobaki bila kuumia, aisee tutakua moto wa kuotea mbali.......

keita,thiago,fab wakikaa mido lazima uombe poo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…