Aisee kwa Mtu anayeangalia kwa jicho LA tatu
Liverpool anafixture ngumu sana mwez wa Pili
Imagine
Anatoka kwa spurs ,then westham
Man city
Lecister city
Everton
Consecutively
Hapo uhakika na point 3 ni big NO

Bado siku kadhaa kupata CB ndugu na kuokoa msimu wetu....
FSG wana hali tete Barcelona soko kuu lao are almost to be declared bankrupt debt almost totalling £1bn na hapo wachezaji wao wamekumbali punguzo la salary la almost 70%...sasa ndugu kwa mwendu huu unadhani nani atamnunua huyo Salah huku Real Madrid wakijipanga kumnasa Mbappe lol labda PSG waje kwa ajili ya Mane ama huyo Salah lakini nao wapo hoi sana kipesa...
Hio policy yao ya sell to buy inaelekea kuwakamata vilivyo na wasipobadilika itakua anguko lao..
YNWA

Kuchukua point sijakataa nimesema Ku winKwenye mechi zote hizo raundi ya kwanza Liverpool kwenye kila mechi alichukua point haja poteza hata mechi hapo.
Sasa uwezekano wa kufungwa unatoka wapi tena?
Mkipata draw Mourinho atakuwa na maelezo ya kunipa ndani ya saa 24. Siku ile mliongea sana baada ya "timu iliyokuwa bora kufungwa".Tukishinda Leo basi draw.
Tutapata ushindi kirahisi sana, tena yawezekana kwa magoli mengi, Liverpool huwa hatusumbuliwi na timu zinazotumia mbinu ya kushambulia.Tukishinda Leo basi draw.
Nimeona magoli manne kwa mawili Leo katika maombi yetu na Malafyale kiongizi wetu mkuu,Tutapata ushindi kirahisi sana, tena yawezekana kwa magoli mengi, Liverpool huwa hatusumbuliwi na timu zinazotumia mbinu ya kushambulia.
Kushambulia? Formation ya spurs ni ya kushambulia ile?Tutapata ushindi kirahisi sana, tena yawezekana kwa magoli mengi, Liverpool huwa hatusumbuliwi na timu zinazotumia mbinu ya kushambulia.
Anasumbuliwa na msuli.Fabihno kapatwa na nini ndugu viongozi?
Son hawawezi kumdhibiti, labda Kane na Ndombele ili wasimpenyezee pasi Son.Klopp kachanjiwa 4 3 3 au siyo? Anyway spurs mtani wa jadi ilitakiwa mumfunge ila siyo kwa watu wale wale formation ile ile.
Hata hivyo katika betting hua mkionekana mmekua nyanya hua mna 50+ chance ya kuamka na kushangaza umati.
Kazi ni kumbana Son. Scorer mzuri, Assisstor mzuri.
Ninatamani kusikia visingizio vya Klopp pia kuanzia marefa, majani, muda wa kupumzika, VAR na penati.
Tafuteni mtu wa kubana pumbu. Arsenal tushampata.
Well documented man...Its now clear we have got stingy owners man