OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hahahahaha eti arsenal iliyokufa[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja wenye timu zao waje ..ohooWewe ni kibaraka wa timu gani ..nakuona kama kigeugeu..kama sio arsenal inayokufa basi wewe ni Chelsea inayozama baharini au man city inayokata roho
Sent using Jamii Forums mobile app
On point...Nimepitia Platforms mbalimbali nimegundua kuwa Washabiki wa Manure na Arsenal wanalazimisha kuwepo na mgogoro baina ya Mashabiki wa Liverpool na Klopp.
But kwa bahati mbaya kwa upande wao ni kwamba Mashabiki wa Liverpool na waelewa kuhusu uwezeshaji wa Timu yao na wanajua ni wapi hasa penye tatizo la msingi.
Yani sisi hatuna cha kujenga timu mkuu ..kama.klopp angekuwa Chelsea, na angeboronga mechi kadhaa basi tungefekelea mbali tu hakuna namna kabisa. Lampard anafaa kufundisha timu kama arsenal au Fulham hukoOllachuga Oc naona umeamua kufukuza kocha.... Nilikua nashangaa sana mbona hawa bookies wapo kimya sana na meneja anaefuata kupigwa KO.. Pole zake Lampard amepata somo muhimu sana...
Sasa lile domo lake kwa Klopp atakua hana pa kulisemea..
Sisi hatuna shinda na kocha wetu tunatimua hawa wachezaji mizigo...
YNWA
Dhubutu yaani huyu Mr. Liverpool Klopp afuate nini Chelsea wakati anajua fika boss wenu haelewi maana project...Yani sisi hatuna cha kujenga timu mkuu ..kama.klopp angekuwa Chelsea, na angeboronga mechi kadhaa basi tungefekelea mbali tu hakuna namna kabisa. Lampard anafaa kufundisha timu kama arsenal au Fulham huko
Hiki ulichoandika ni practicable? Kwamba chuki yenu isababishwe na watu wa kando? Kwenye mpira chuki ya mashabiki na kocha husababishwa na matokeo.Nimepitia Platforms mbalimbali nimegundua kuwa Washabiki wa Manure na Arsenal wanalazimisha kuwepo na mgogoro baina ya Mashabiki wa Liverpool na Klopp.
But kwa bahati mbaya kwa upande wao ni kwamba Mashabiki wa Liverpool na waelewa kuhusu uwezeshaji wa Timu yao na wanajua ni wapi hasa penye tatizo la msingi.
Hahahahaha eti arsenal iliyokufa[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja wenye timu zao waje ..ohoo
Ina maana hujui hadi leo mimi ni shabiki ndaki ndaki wa The Blues? Timu ya baba, timu ya mama, timu ya babu, tumu ya bibi..
Amia Chelsea mkuu acha kuzubaa mjini hapa..
[emoji23][emoji23]kwamba wazazi wake wamesoma pamojaWazee wako wote wanashabikia Manchester United (nawajuwa nimesoma nao ) ni wewe tu ulie amua kujichetua.
Mkipanga hizi beki za akina Williams yatawakuta makubwa.Maiti anafufukia kwa Spurs
- Salah ameshatoa gundu jana
- Mane atatoa gundu kwa Spurs
- Firmino atakufa na gundu tu hakuna namna
Klopp kulinda heshima yake msimu huu ukiisha na hakuna hela ya usajili namshauri awaachie timu yao.
Watafute kocha wa kubuy na kusell.
Timu imepata mafanikio makubwa football wise na financially, lakini mijitu hata kutoa hela ya kununua wachezaji inasema corona. Kabla ya corona walimnunua nani?
Klopp naona akitua Barcelona ama timu ya Taifa ya Ujeremani...Klopp kulinda heshima yake msimu huu ukiisha na hakuna hela ya usajili namshauri awaachie timu yao.
Watafute kocha wa kubuy na kusell.
Timu imepata mafanikio makubwa football wise na financially, lakini mijitu hata kutoa hela ya kununua wachezaji inasema corona. Kabla ya corona walimnunua nani?
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nimerithi kushabikia Chelsea toka baba, baba naye karisi kwa babu(babaye) sasa nitanzaje kushabikia manure?? Kwanza kwenye ukoo wetu hakuna shabiki wa manure wala simba...Wazee wako wote wanashabikia Manchester United (nawajuwa nimesoma nao ) ni wewe tu ulie amua kujichetua.
Hii ndo front ya liverpool na kocha wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmekomaaaaaaa.????View attachment 1686267
Nimegundua kumbe mchezaji wa mbele asipo funga basi hafai.
Firminho katoa asisti 2 lakini kaitwa kibudu.