Huu utulivu mnaouonyesha ni maandalizi ya kimbunga.Jaribu kupitia Comments zetu japo za masaa 12 yaliyopita utaona kuwa hatuna tatizo lolote na Klopp hata tukishuka Daraja tukaenda Championship bado tutakuwa na Imani na Klopp kwani anayesababisha matatizo yote haya tumeshamzungumzia sana tu na wala sio Klopp.
Hivyo sidhai kama unaweza kuona KloppOut kwenye huu Uzi.
[emoji23][emoji23]This is funny..Looserfools fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1685407
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
you cant be seriousLast time tumepoteza mechi Anfield watu walikuwa wanatumia iPhone 3..
Imagine that..
Umetupa ujiko unadhani pia hatuna Quality kwenye kikosi chetu ya kuwafunga nyie Liver?..unawapa ujiko kina Burnley huko sio sisi,sisi ni vinara wa ligi,embu tupe heshima kidogoHawa owners wananishangaza sana
Wanashindwa kuibeba timu Kwa stupid policy ya sell first huku hela ipo..
Hawatazami mpira?Hawaoni hatuna subs kabisa??
Yaani tumewapa ujiko WA bure Man u..
If only tungenunua CB mapema
Both hahaha... Ongezea na soka ni mchezo powa sana yaani 1 mistake 1 goal...Kwa hiyo wadau tunajiteteaje!
Ni Mick Mouse Cups au majeruhi wengi!
Cb wapo ila klopp hajataka kuwatumia tu!Hatuna Centre back mkuu
Both hahaha... Ongezea na soka ni mchezo powa sana yaani 1 mistake 1 goal...
Rys kama Rys kafanya yake...
Honestly huyu dogo mpaka sasa kwa nafasi alizopata Team A alitakiwa awe ameiva kiasi fulani lakini kwa mara nyingine tena anafanya yake and dearly costly...
YNWA