Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila duh mpira una mbinu nyingi sana hii ya Bayern Munich nayo imetulia mno utekelezaji wake nao unahitaji uvumilivu ila kuliko hii cat and mouse game ya FSG naona hii ya Bayern inatufaa kwa sasa...

Wangeanza na kumnasa kwa mkopo CB Elder Militao kutoka Real Madrid...

YNWA
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yaani mmeanzisha kikosi kinene na bado mnafanywa hivi? Fanyeni kupindua meza nyie

Mkuu kwani Manure wameweka Kikosi gani? Hapo si wamepungua wawili tu De Gea na Bruno tu.
Mbona hata sisi hatuna wawili Mane na Henderson.
 
PALE PALE KWA THIAGO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1685303

Hizi Screenshot nimezoea kuziona ukiwaekea Watani zako Arsenal lakini naona leo umeamua kuhamishia kwetu.
 
Nawapongeza sana Liverpool kwa mchezo wa leo,hii imekwisha tunaenda home kujiandaa na Spurs!
Liverpool HALISI tuzidi kuwa nyuma ya vijana wetu,hamna faida yyt ya kuanza kutukana team.
In Klopp we trust
 
Mkuu kwani Manure wameweka Kikosi gani? Hapo si wamepungua wawili tu De Gea na Bruno tu.
Mbona hata sisi hatuna wawili Mane na Henderson.
Nilitarajia liva aje na kikosi kizima cha ligi. Nilidhani united atataka kutunza wachezaji wake kwa ajili ya ligi, ole had other plans. Hata hivyo leo milkua low mno kama vile siyo nyie mliomiliki mpira kwa 60%

united amestahili ushindi. So Klopp out au bado?
 
Mgonjwa wa kichaa hajawai kupona.

Mtakaa tena miaka 30 ya shida, tabu na mateso kama kawaida yenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…