Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Come on gents destroy the Stretford boys..LIVERPOOL TEAM NEWS vs Manchester United
Team to play Man Utd: Alisson, Alexander-Arnold, Robertson, R. Williams, Fabinho, Thiago, Wijnaldum, Milner, Jones, Salah, Firmino.
Subs: Kelleher, Mane, Oxlade-Chamberlain, Minamino, Tsimikas, Shaqiri, Origi, Phillips, N. Williams.
YNWA
Ulitaka langoni awepo Farouk Shikalo.Klopp hataki msimu upite bila kikombe. Hadi Alli Bakari yupo langoni...
Nyumbu mnajiona mpo vizuri sana. Tusubiri dakika 90Hivi kuna shabiki wa Livakuku alie naimani kua timu yake itashinda leo?
Yaani mmeanzisha kikosi kinene na bado mnafanywa hivi? Fanyeni kupindua meza nyie
Hawa jamaa kuna kitu hakiko sawa. Beki mbovu, kiungo hakieleweki, Thiago ni kama hajui katumwa kufanya nini!Yaani mmeanzisha kikosi kinene na bado mnafanywa hivi? Fanyeni kupindua meza nyie
Mimi hapa naona ushindi...Hivi kuna shabiki wa Livakuku alie naimani kua timu yake itashinda leo?