OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,318
Kama sisi tukishindwa kubeba hii ligi basi bora man u abebe ..kwa iyo mpigeni Leicester na man city izo nyingine Towa drooNo, Bora Man City na Leicester watupige za kutosha tu then Waliobakia tutoe sare.
Sisi kama hatuna uwezo haina haja ya kuwaharibia walio na uwezo.
Round hii jiandae kisakolojia. Kipigo kipo pale palebora kushuka daraja ila sio kufungwa na manyuu na chelsea,
Kwa kweliJota akirudi tunarudi kwenye form yetu.
Kila mtu ashinde mechi zakeMfungeni spurs, man city na Leicester then potezeni na westham na Brighton, mutakuwa mumeifanyia Dunia jambo LA maana.
Unataka msaada kutoka kwetu,Pambaneni wenyewe sina mna timu ya kuchukua Ubingwa.Mfungeni spurs, man city na Leicester then potezeni na westham na Brighton, mutakuwa mumeifanyia Dunia jambo LA maana.
Nyie msimu uliopita mbona mulikuwa munaomba tuwapigie Man city?Unataka msaada kutoka kwetu,Pambaneni wenyewe sina mna timu ya kuchukua Ubingwa.
Nyie msimu uliopita mbona mulikuwa munaomba tuwapigie Man city?
Kama sisi tukishindwa kubeba hii ligi basi bora man u abebe ..kwa iyo mpigeni Leicester na man city izo nyingine Towa droo
Firmino is the system so we heard ๐๐๐๐.....Kwa form ya Jota alipotia maguu LFC nashangaa kuna watu humu wakawa wanaendekeza mahaba kwa Firmino
Firmino is the system so we heard ๐๐๐๐.....
Jota the game changer...
YNWA
Inafaa ukae na mgonjwa wa ukimwi ww kwa kutoa ushauri na sahaMsimu huu kila team imepitia changamoto kabla ya kukaa sawa...
Bado nina imani tena kubwa kabisa kwenye mbio za ubingwa