King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Kwa Mido gani mkuu[emoji3].
Thanks Klopp kwa kutupa raha kipindi chote hiki kumbe kuna mashabiki wapinzani walikua wanapata kwikwi...Yani Nyuzi zote mumekuwa Nyinyi ndiyo Wafalme munatamba tu! Kutesa kwa zamu hata sisi last season tulitamba lakini sasahivi maji tunaita Mma.
Ngwaba achana na chizi fresh, huoni anaungwa mkono na washabiki wa ArsenalHumu Muna Watu wana Mindset za ajabu sana! Yani ukielezea Weakness ya Timu wao wanakuja na issue za kuwa Hatuisapport Timu.
We're supporting this Team that's why we're here
Liverpool inasifa za kuwa mabingwa kwasababu mtaifunga manchester united,kweli 🤔? Kwa hilo pira magimbi mnalocheza, dk 90 shots on target 1 tena mbele ya soton?😂😂😂. Naona umekosa kazi wewe..Hilo swala mkuu nalijua,ndio maana sina wasiwasi,ila jana kupoteza sijapenda maana niliona timu yetu tunapoteza kwenye draw tu sio kufungwa.
Kila timu ikifanya vibaya inapoteza kwa kufungwa sisi kupoteza ilikuwa draw.
Na uwakika game yetu pale anfield na Manyumbu tutawafunga.
Kwa hiyo Hao Manyumbu raundi ya kwanza watapoteza mechi 4.sasa raundi ya kwanza wamepoteza mechi 4 ya pili 4 tena? Kama msimu mzima kapoteza 8 .hakunaga bingwa wa Epl anapoteza mechi 8 Halafu anakuwa bingwa.raundi ya pili ndio ngumu sana wafungaji magoli magoli yanapungua.
Kwa navyoona city na sisi ndio tuko siriaz na ubingwa na ndio tunasifa zote mpaka sasa za kuwa bingwa.
Naona wamekuachia jukwaa peke yako.Paragraph ya mwisho ilibidi ni-apply uNgwaba.
Liverpool inasifa za kuwa mabingwa kwasababu mtaifunga manchester united,kweli [emoji848]? Kwa hilo pira magimbi mnalocheza, dk 90 shots on target 1 tena mbele ya soton?[emoji23][emoji23][emoji23]. Naona umekosa kazi wewe..
Naona wamekuachia jukwaa peke yako.
Mtapapaswa na mtapakwa mafuta ya nazi uko kudogoUshakuwa mganga wa kienyeji sasa, sio?
Huyo City wako, kwanza tunaanza kumgonga kesho, ili kudhihirisha kua msimu huu Manchester United tuna jambo letu.
Wewe sijui mlevi wa nini hiyo nafasi mliyomuweka city ndiyo mtakaa nyie na leo anawakuna kule kudogo yaani kwenye carabao yenu.Niwakumbushe tu, msimamo msimu huu utaishia hivi
MANCHESTER UNITED
EVATON
LIVERPOOL
CHELSEA
TOTENHAM
MANCHESTER CITY
Ukibisha nakupasua.
Wote ni kama mashabiki wa CCMKwa iyo Man City ndio atawapa Point hao kijinga
Man Utd fans are very stupid, empty headed
Ona Kama huyu, ni bonge la kilaza
[emoji16] kweli wewe chizi unaemiliki simu janjaKesho unakuja ghettoni nakupiga 3 bila kupumzika.
Usisahau kuja na kitambaa cha kufutia.