Kabisa yanii mm bado naimani na timu majanga ya majeruhi tulionao na bado tupo juu ya msimamo amna timu ambayo ingeweza msimu huu mm naona LFC inanafasi bado man u kuna kipindi walikuwa wanazingua mbaya tuu wametusogelea pressure inaongezeka kuna villa akishinda mechi zake anakaa apo nyuma ya mkiaa tutakuwa tunacheza kwa pressure afu umakini unaweza kuongezekaMkuu hili swala la kuongoza ligi kila mtu alipoongoza ligi ilikuwa inasema tunachukua ubingwa kwa hiyo hata kwa Man U ikitokea ikaongoza ligi sitashangaa kauli zao.
Bado man city kuongoza ligi kwa muda,nayeye akiongoza ligi watu watasema atachukua ubingwa.
Kwa navyoona ligi bado sana kwa sasa hata ukiongoza huwezi kushinda mechi zote mpaka ligi iishe .me nasubiria kuanzia mechi ya 7,8,9 ya mzunguko wa pili pale mtu akiongoza ligi unaogopa maana mechi zinakuwa zimebaki chache.
Me sina wasiwasi najua hilo kombe linarudi tena pale anfield.kelele za man u zisitutishe kabisa wala kuogopa.huyo bruno wao wanao mtegemea ataumia tu wataanza kupoteza.
Mkuu Jota hayupo hivyo aanze Takumi ni workhorse dogo na lile goli alilofunga pale Selhurst Park ilikua very crucial kwake na Klopp should have taken a gamble tena kwake...Nakuelewa mkuu, ndiyo maana nikawa nam-favor Jota at least alirudisha ile spark ya magoli, na alikuwa anasababisha kama kaushindani fulani ambapo mwisho wa siku timu inashinda.
Kuna point umezungumza ya kutafuta creative mid isiyo na history ya injury, hili nadhani haliko kabisa kwenye mahesabu ya timu, tena kwa hizi taarifa za Gini kuelekea kusaini ndo kabisa tusahau.
Zile nafasi zilikua za wazi kabisa, tungekua tunaongea hadithi nyingine kabisa saa hiziUkimtoa ndio hizo chance hupati tena.
Nafasi alizopata alikuwa alengi goli yeye anapiga nje,mpaka alikuwa anatia hasira,sasa tutashindaje kama anapiga nje?
Ha ha haaaa kwa hiyo Salah akiumia hatutapata tena chance noma sana.Ukimtoa ndio hizo chance hupati tena.
Nafasi alizopata alikuwa alengi goli yeye anapiga nje,mpaka alikuwa anatia hasira,sasa tutashindaje kama anapiga nje?
Shaqir delivery is superb...Ha ha haaaa kwa hiyo Salah akiumia hatutapata tena chance noma sana.
Kocha asie kalili mechi ya jana Shaqili angeingia mapema nafasi ya Salah.
Goli lilishamkataa hata angecheza dakika mia mbili
Nakuelewa mkuu, ndiyo maana nikawa nam-favor Jota at least alirudisha ile spark ya magoli, na alikuwa anasababisha kama kaushindani fulani ambapo mwisho wa siku timu inashinda.
Kuna point umezungumza ya kutafuta creative mid isiyo na history ya injury, hili nadhani haliko kabisa kwenye mahesabu ya timu, tena kwa hizi taarifa za Gini kuelekea kusaini ndo kabisa tusahau.
Naunga mkono kilichoongelewa hapaView attachment 1664136
Kiongozi kama hutojali naomba share hapa link yenye hiyo Article ili nijisomee nipate mawili matatu.
Heri ya mwaka mpya waungwaa Wote
Nahisi hatupo Serious na Ubingwa msimu huu japo ubingwa wenyewe unatupendelea
Asante sana kheri ya mwaka mpya pia..Heri ya mwaka mpya waungwaa Wote
Nahisi hatupo Serious na Ubingwa msimu huu japo ubingwa wenyewe unatupendelea
AmeenHeri na kwako pia mkuu.
Tunaingia mwaka mpya tukiongoza ligi kama tulivyouanza mwaka.
I hope tutamaliza tukiwa juu.
Klopp’s management of Liverpool squad deserves to be questioned
Liverpool have dropped four points in their past two league games, and some decisions by the manager deserve to be questionedwww.liverpool.com