Freshi tu,Its cant get worse than this..
Liverpool boss Jurgen Klopp has confirmed Joel Matip will miss the next three weeks after limping off in the draw against West Brom on Sunday.
YNWA
Mkuu bado game 3 mzunguko wa kwanza uishe...Sasa hivi lolote mtakalosema itaonekana mmepatia, hatamu ni yenu.
Nasubiri kuona nini tunafanya game ya Southampton.
Lol mkuu hatuna namna ni kumuombea quick recovery ana msaada mno anavyokua fit too bad his body is made of biscuits in MosDef words 😛😛😛...Freshi tu,
Ikiwezekana wamkate mapumbu kabisa asicheze tena mpira.
Siku hizi City anacheza sana 4 2 3 1 nahisi kaona wanambana sana. Liva mnamiliki mpira ila nahisi mnahitaji striker sasa hii ishu ya false 9 na huku Salah anaanza kua butu itazidi kuwasumbua.Mkuu umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja unalisahau.. Hao MF wetu wasipo dictate mchezo unadhani hao LB na RB watapata wapi huo uhuru wa kupeleka mashambulizi...
Shinda kuu nayoiona ni kama vile tuna hati miliki na 4 3 3 week in week out.. Matatizo yanaanzia hapo ndugu maana timu pinzani wanajiadaa namna ya kuizima 4 3 3 na hakika wamefanikiwa..
Chamberlain amepona, Thiago amepona, Shaqir amepona na Takumi mzima meaning Klopp hawezi sema hana asset za kubadili mfumo may 4 4 2...
When 4 3 3 is proper utilised man utapenda maana hua ni mchaka mchaka na ushindi juu ila ikizimwa kama jana lol utaichukia mno....
Manchester City wao ni 4 3 3 any day of the week na wanafanikiwa kwa vile wachezaji wa kwenda na flow wanao japo nao wakikutana na kupaki treni wanakwama tazama mechi yake na WBA alitoka sare...
Ni wakati Klopp aje na mfumo mwingine huu wa sasa timu pinzani wameshatujulia..
Kingine jana Firmino na Salah walikosa clear cut chances at point blank... Kwa kweli Messi na Ronaldo walipwe hizo 💵 au £500,000+ week maana wana consistency kufunga.. Hawa wa kwetu dry spell sasa inawakata wote kwa pamoja...
Get well Jota...
YNWA
Well said ile game ya AT iliwapa clue opposition managers how to tame Liverpool and since then we have been tamed for real...Siku hizi City anacheza sana 4 2 3 1 nahisi kaona wanambana sana. Liva mnamiliki mpira ila nahisi mnahitaji striker sasa hii ishu ya false 9 na huku Salah anaanza kua butu itazidi kuwasumbua.
Kuna member kalalamika mid jana zilipiga sana sideway passes probably ilikua namna yao ya kutaka kuwaengage fullbacks. Hata hivyo tangu game ya Atletico ilionyesha kwamba fullbacks za liva zikikabwa inakua ngumu timu kupata ushindi.
Asaijiliwe St na AM halafu ichezwe 4 2 1 3
Vi chance vichache vilivyotengenezwa jana Salah kavikosa vyote, huyu jamaa mechi tight kumtegemea akupe ushindi ni ndoto mbaya zaidi chance nyingi zinaangukia kwake
Huu sio ubinadamu kabisa, japo amekuwa na injury prone lakini sio kunuombea mabaya, ameumia akitimiza majukumu yake. Tuweni wavumilivu, matokeo haya sio mazuri ila ni moja ya matokeo ya mchezo wa mpira wa miguuFreshi tu,
Ikiwezekana wamkate mapumbu kabisa asicheze tena mpira.
Hizi timu unazotoa nazo sare yeye anazifunga.
Everton, Fulham, Westbrom, Newcastle, Brighton, Southampton next game.
Usipobadilika utampa ubingwa.
Aanzie wapi kubeba
Hana huo uwezo
Yaani manyua ndio wabebe kombe? Siamini kwa msimu huu
Na next game tunadraw na Southampton labda Timu ibadilike kuanzia upangaji wa Kikosi na Performances za wachezaji.
Mbona man utd wanashinda sana away?
Usiogope faza manure hana ubavu huo Maybe city ndo wakuogopa sio man u
Unadhani kwa kikosi tulichonacho nani apangwe?
Mimi naona kama tunapitia hali tata timu nzima, sina hata wa kusema akipangwa huyu atatuokoa.
Ni kazi ya ile front 3 kuwa clinical, kitu ambacho naona wote watatu wepoteza scoring instincts.
Sina uhakika kama wanapania sana kila mmoja afunge au tu wako katika kipindi kigumu.
Nafasi kama nafasi zinapatikana chache, kuzitumia ndiyo inakuwa ngumu.
Freshi tu,
Ikiwezekana wamkate mapumbu kabisa asicheze tena mpira.
Hizi kauli za kuwa kila mmoja anapania afunge yeye ni kauli za Schoolboys na sio za kimpira.
Ninachokiona mimi ni kuwa Front 3 yetu ipo kwenye nyakati ngumu tu ya kufind target, nothing else.
Usiogope faza manure hana ubavu huo Maybe city ndo wakuogopa sio man u