King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Tofauti ni kwamba Klopp anatumia indirect method sio direct kama kina mourinho mfano zile blunder za Karius tulijua kabisa klopp lazima amfurushe tuu, na akamfurusha indirect tofauti ingekua Mou angebwatuka
Me leo nataka ashinde aisee.
Manjesta wakaanza kujiweka kwenye title race [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka DullyJr na Aaron Arsenal wameacha kutua humu kwa kweli hali yao sio powa kabisa...
Mikel wamteme tu hakuna namna amechemka...
YNWA
Me leo nataka ashinde aisee.
huu ubingwa ni wetu kupoteza, huyu chelsea keshapotea, hofu ni man city tu
Huu msimu bado aisee, kuna uwezekano tukaenda mpaka game 2 za mwisho bila kujua bingwa ni nani.
Mimi mpaka sasa bado namfikiria City.
January ikiisha ndio itatoa picha vizuri,maana kila timu zitakuwa zimekutana.sio sasa hivi ukasema flani atakuwa bingwa.
Ndio maana kuna muda Arsenal walionekana watachukua ubingwa kwa kushinda mechi mbili za mwanzo wa ligi.
Tusubirie mzunguko wa kwanza ukiisha nani atakuwa juu hapo. Mzunguko wa kwanza hautatofautiana sana na wa pili.
Kama mzunguko wa kwanza tumeshindwa kuchukua point kwa Aston villa pekee yake mzunguko mzunguko wa pili tutakuwa na nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
Unamuogopa Chelsea? Really?
Ngwaba fala sana, hahahahaSasa kwanini bado unakaa kwa Shemeji yako?
Ngwaba fala sana, hahahaha
Leo ushindi wetu tena Allah Bariki
Hivi bado Nyumbu wanamfukuza mwizi kimya kimya? Au
Unajua dogo nilikuwa nakuona wa maanaUnajua hawa Madogo wanaonunuliwa mpaka Boxer za kuficha Makende yao na kulipiwa Ada za shule huwaga wanakosa adabu sana ndiyomana nawapa maneno yanayoendana na wao.
Jana wakati narudi kuwaangalia Manure nilimkuta Dogo mmoja anapiga Stori na wenzake anaponda sana Simu za Samsung na Tecno huku akijitapa yeye kamwe hawezi kutumia takataka hizo kwasababu tu yeye anatumia iPhone.
Dah! Nilimuangaliaaa halafu nikatembea kwasababu najua wazi nikimwambia aondoke kwao ile kutwa moja hana uwezo wa kujinunulia hata Kitumbua.
Anachoringia ni kuwa Babayake ni Katibu Mkuu na Mama yake ni Mkurugenzi anapewa mpaka hela ya kwenda Saloon kunyoa.
Madogo wanakosaga Adabu sana Yani
Una biti kama la kigogo yaaniUnajua dogo nilikuwa nakuona wa maana
ila nikwambie tu, kubishana na madogo Kama nyie ambao bado akili haijapevuka ni matumizi mabaya ya akili
Wewe dogo nikirusha picha yako humu kila mtu anaweza jua nini namaanisha, wewe bado dogo sana, hatulingani hata kidogo sawa mdogo wangu
Wewe ni dizaini ya wale watuUnajua dogo nilikuwa nakuona wa maana
ila nikwambie tu, kubishana na madogo Kama nyie ambao bado akili haijapevuka ni matumizi mabaya ya akili
Wewe dogo nikirusha picha yako humu kila mtu anaweza jua nini namaanisha, wewe bado dogo sana, hatulingani hata kidogo sawa mdogo wangu
Huyu dogo mnamuona wa maana sana humu, ni kajamaa flani hivi kapo kapo, ni vile tu jf yanaonekana maandishWewe ni dizaini ya wale watu
"" Unajua Mimi ni Nani""