Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

 
Huwa nawashangaa watu wanaomponda takumi

Yule dogo akitulia na mfumo watalia Sana watu pale England
Kabisa

Kila mmoja ana pace yake ya kusettle... Lakini in most games taki amecheza kuna positive results because of his pressing
 
Je kumhitaji huko ni kwa ghalama yoyote?
Amekosa kumshukuru Klopp kwa mafanikio alopata sasa hivi anaaza kumkosoa.
 
Anajiona messi labda
 
Huwa nawashangaa watu wanaomponda takumi

Yule dogo akitulia na mfumo watalia Sana watu pale England
Namponda sababu sasa hivi anazurula tu uwanjani juzi kfunga goli la ufundi sana lakini baada ya hapo hamna kitu.

Dakika 90 anapewa ili aimarike bado tunasubili.

Au apigwa misumali kama Shaqili?maana tulitegemea agawe dakika za wenyewe pale mbele ajabu akiingia anachachawa tu.

Jota kaja kibabe kutishia namba za wenyewe na magoli kesha lazwa tayali hawa wasio pumzika hawaumii.
 
huwa nafurahi sana timu ya Jose inavyofungwa, hawa inabidi wapigwe tena na tena, na bado akiumia son sijui itakuaje
Lazima ufurahi, hasa ukikumbuka namna alivyotumia kikosi cha pili kuwapoka ubingwa na kumpa City. Spurs siyo quality ya Liverpool kwa sasa. Hata hiyo pressure ya ubingwa tuliyoweka mpaka kabla ya game tatu zilizopita ni Mourinho master class pekee. Labda uniambie ni kocha gani angepigania ubingwa na kikosi yenye hawa akina Dele Alli, Harry Winks, Mousa Sissoko, na Lucas Moura waliochuja.

Kuhusu Son au Kane kuumia hakuna shabiki wa Spurs anataka kusikia kitu kama hicho maana kila anayeijua Spurs anajua bado imejengwa kuwazunguka hao.
 
Week nzima hii Mourinho alikuwa anapiga umbea kwa Klopp tu....Ahsante sana Leicester kwa kunitandikia hii mtu.
Alikuwa anasema ukweli. Klopp namvulia kofia kuanzi attitude mpaka mentality. Kumbuka namna alivyojifanya mjinga siku ile kwa Lampard. Ila kuhusu maneno ya Mourinho hata yeye Klopp aliyarudia kuwa anashangaa tuzo kupewa yeye na si Hans Flick. Ila ndiyo mchezo ulivyo, siyo kila kitu kitabirike kama Balon D'O.
 
Maoni haya yataendelea kusimama ikiwa Spurs haitafanya marekebisho dirisha dogo. Levy akifanya tena master class kama alivyofanya dirisha kubwa, raundi ya pili tuko na nyinyi. Kwa sasa hata sare Jose aifurahie tu.
 
Uwekezaji umefanyika, acha muendelee kupata mavuno. Huwa nadhani kuwa kwenye enzi ya sasa ya soka, project ya Liverpool ndiyo mfano bora zaidi wa kuigwa/kijifunzia kwa timu zinazotafuta kurujea kwenye kilele cha mafanikio kama vile Arsenal (tangu 2004), United, Barcelona, Real, na zingine. Spurs siwataji kwani najua project yao iko unique. Inabezwa kwa sasa ila huko mbele itaeleweka.
 
Je kumhitaji huko ni kwa ghalama yoyote?
Amekosa kumshukuru Klopp kwa mafanikio alopata sasa hivi anaaza kumkosoa.
The guy hajamlaumu klopp

Drama za media Tu

He was not happy kukosa armband but accepted it as a coach decision
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…