Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
The Egyptian Pharaoh wins Big

Liverpool right winger Mo-Salah has been announced Fans' Footballer of the Year.

The veteran forward overthrew six fellow EPL Stars in a close contested vote to win the inaugural Fans' Footballer of the year prize after helping the Reds to clinch the title last season, scoring up to nineteenth goals and ten billiant assists.

YNWA
Put forth some words about Red Devils from Old Trafford
 
Hivi apart from ku assist huoni Mane anavyojitajidi ku create magoli? Anaweza aka assist mwingine lakini Mane binafsi namkubali anavyopambana uwanjani,
Hao ndo wale ta10 bonge lamchezaji kisa kafunga na dakika zote anazurula tu.

Kuna mtu kamsifia Chmbalin ha ha haa Keita wala haonekani
 
Umenena sawia kop
Tuacheni porojo salah ni wamuhimu sana kwenye timu kuliko hata mane
Kama kila mchezaji akitaka kutengeneza takwimu inawezekana mbona mbona ila ndo tutafungwa na mpka lipuli.
Mfano mechi na Fulham kipindi cha kwanza muangalie alivokua anacheza Mane na Gini
Watu wanaopambania tim ishinde mnawachukulia poa.

Hivi ushafatilia mechi anazokosekana Mane na anazokosekana Salah
 
Kwenye hii Interview Salah mumemlisha Maneno.
Yani Interview nzima watu wamedaka kipande hichi tu 👇
"Honestly, I was very disappointed"

Salah: Honestly, I was very disappointed. I was expecting to be the captain... but it's a manager's decision, so I accept it.

Hapo Salah alielezea hisia zake tu kama Mchezaji lakini watu wakamlisha na maneno mengine as If ameikataa Timu.

Na kibaya Zaidi wanaomuundia Story za uongo za kuwa kasema anataka kutafuta Changamoto mpya ni Washabiki wa Liverpool wenyewe.
Shida ni ukapten si akavae wa kwao
 
Interview moja tu tazama maneno sasa yanatoka kila kona..

Egyptian striker Mohamed Salah is "not happy" at Liverpool and the club is now considering selling the star, claims his former Egypt team-mate Mohamed Aboutrika.


Salah, who has starred since arriving at Anfield in 2017, refused to rule out a move to Real Madrid or Barcelona during a recent interview with AS.

The forward also said he was disappointed not to be made captain for Liverpool's Champions League clash against Midtjylland earlier this month.

Aboutrika, who played 100 games for Egypt, said Salah was unhappy at Liverpool.

Aboutrika: Salah not happy at Liverpool
"I called Salah about his situation in Liverpool and he is upset, but that would never affect his performance on the field," he told beIN SPORTS.

IFAHAMIKE VYEMA HAWA AS HUWA WANATUMIKA SANA NA REAL MADRID NA BARCELON KUWACHOKONOA WACHEZAJI WANAOWAHITAJI...

YNWA
Team imejengwa na Klopp na sio Sala kama vipi atembee tu waibuke wengine
 
Hao ndo wale ta10 bonge lamchezaji kisa kafunga na dakika zote anazurula tu.

Kuna mtu kamsifia Chmbalin ha ha haa Keita wala haonekani
Takumi is a very good player, he's just put of sync with his new team... No doubt he is worth more than 7m quids we paid for

Naby ni classy, unfortunately no injury prone

Ox is typical English player, dedicated, good workrate and can shoot from a distance

You can't compare with zile ndidizzz za asses
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom