Jichekeshe tuHuwezi kuamini Aisee! Manure sasa wanazungumzia Ubingwa while ni Top Four Contender
God forbid kati ya opponent ambao recently mmekuwa mnapata shida kupata matokeo ni utd... Salah alivua shati usisahauKelele zitaisha tu, tumebakiza less than a month kukutana nao.
Watateseka tu.
God forbid kati ya opponent ambao recently mmekuwa mnapata shida kupata matokeo ni utd... Salah alivua shati usisahau
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Honestly... I like it.Yes nakumbuka, Salah hakuwa ameifunga Man Utd kabla, ndiyo maana alifurahi sana.
Naelewa rivalry ilivyo kubwa kati yetu, recently (atleast kwa misimu 3) tumekuwa na matokeo mazuri dhidi yenu. Draw OT, Anfield tunashinda. Na game ya 17 January iko Anfield.
Honestly... I like it.
I hope game ya 17th itakuwa more interesting
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Sure the coming two games is more crucial before kipute cha anfieldSana, na it will be more interesting kama mtakuwa mmeweza kuendelea kuwa kwenye hiyo position. Msipoteze hata point kwa game 3 zijazo.
Huwezi kuamini Aisee! Manure sasa wanazungumzia Ubingwa while ni Top Four Contender
Sure the coming two games is more crucial before kipute cha anfield
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hahahah haiwezi kuwa probably... Matokeo ya hii game ni ngumu sana kutabiriTrue, ngoja tuone itakuwaje.
Binafsi naamini unbeaten run ya Anfield haiwezi kuvunjwa na Man Utd, itavunjwa na timu zilizoko chini kwenye msimamo wa ligi.
Kawaida sana hiyo mkuu,Ngoja nikukumbushe.
Ligi ilivyoanza mechi mbili za mwanzo Arsenal wakasema wanachukua ubingwa na kweli maana walishinda mechi mbili za mwanzo .
Ikaja Everton na Aston villa watu wakasema everton atachukua ubingwa maana alikuwa ajafungwa hata mechi moja,Aston villa yeye mechi 4 za mwanzo aliruhusu goli 2 tu zile goli zidi ya liverpool.
Baada ya hao akaja leicester watu leicester hatachukua ubingwa Safari hii,Baada ya leicester wakaja chelsea,wakatoka chelsea wakaja spurs.
Sasa wametoka Spurs wamekuja hao Man U.wakati huo liverpool tupo kimya tu.
Hao Man U,hapo hawanitishi watakuja na kuondoka kama wengine tu kwakua bado labda mechi kama 8 hivi zingepita za round ya 2,angekuwa yuko hivyo kama saizi ningeanza kumuwazia huyo bado kelele tu wala tusiogope.
Hahahah haiwezi kuwa probably... Matokeo ya hii game ni ngumu sana kutabiri
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Napata hisia tunaweza kuswitch ground ssa hiv... Even a draw anfield afu nyie mkakaza OTKinachoniuma ni kukosa matokeo pale OT kwa kipindi hiki ambacho tumekuwa bora huku nyie mkiwa taabani.
Sasa mkifufuka itakuwa ngumu zaidi.
Alikuwa hajawafunga na pia kwa aina ile ya ule mgoli na ule muasist toka kwa ab ,hata mie pale bandani nilionekana mwehu kwa kushangiliaGod forbid kati ya opponent ambao recently mmekuwa mnapata shida kupata matokeo ni utd... Salah alivua shati usisahau
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Long pass ya kawaida na long run... Ilikuwa counter attack... Kipindi hicho nilikuwa nategemea mtu kama DJ akipige 90 mns ssa hivi vitu kadhaa vimebadilikaAlikuwa hajawafunga na pia kwa aina ile ya ule mgoli na ule muasist toka kwa ab ,hata mie pale bandani nilionekana mwehu kwa kushangilia