Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Iko wazi kuwa kocha bora wa msimu ni Hans .Maybe, uelewa wangu ni kwamba tuzo inaangalia ulichafanya msimu unaozungumziwa.
Football World inashangaa mpaka sasa nini kimetumika kumpa Klopp badala ya jamaa.
Klopp mwenyewe alishangaa.
Bayern wameshinda vikombe 5 chini ya huyo kocha.
Kiushabiki, naweza sema sawa, ila kiuhalisia sidhani kama Klopp alistahili hii tuzo.
Hakuna watu wanaojiona wameyapatia Maisha Kama hawa kuku wa humuWewe na litimu lako linaloshindwa kuifunga West brom nyumbani hamna jipya la kujitamba msimu huu
Hakuna watu wanaojiona wameyapatia Maisha Kama hawa kuku wa humu
Only 13match out of 38
Mnaanza kupita mbele ya wanaume mmelowesha kanga
UEFA ni plan yetuSiku man city wakichukuwa UEFA tutakuruhusu nawewe ujitambe
Hendo akipunguza useless passes yuko sawa kaka...I had go Hendo, Thiago and Jones.
Hendo ameongeza kiwango, napenda anavyokaba pia.
Gini namwelewa halafu simwelewi.
Hendo akipunguza useless passes yuko sawa kaka...
YNWA
Nini kimekujia akilini Mkuu baada ya kuona hii.Minamino na Keita ndani.
Nini kimekujia akilini Mkuu baada ya kuona hii.
Yeah you got point pamoja na uzuri wake since Fabinho amerudi CB hajafikia kiwango cha game decider may be that last pass nk but at times need long legs in the middle of the park ili kuwa release wengine in LB na RB na so far amejitahidi..He is very decent, though siyo mtu anayeweza kuamua game siku hizi namwelewa kiasi.
Otherwise 2021/22 kikosi kitakuwa na VVD kwenye namba yake, katikati Jones, Fabinho na Thiago. Henderson ataanza kuwa anapumzishwa. Hoping kwamba Thiago ata age kama Thiago mwenzake wa Chelsea.
Klopp hapangiwi ndugu hapana chezea...Nini kimekujia akilini Mkuu baada ya kuona hii.
Hahaha.... nimeona hapo kwenye bold chief!LIVERPOOL TEAM NEWS
Team to play Crystal Palace:
Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Fabinho, Robertson, Keita, Henderson, Wijnaldum, Minamino, Firmino, Mane.
Subs: Adrian, Kelleher, Salah, Oxlade-Chamberlain, Jones, Origi, R Williams, Phillips, N Williams.
YNWA
Kwann broGoli alilofunga Minamino ni la Matusi kabisa
Kwann bro