Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Ndio maana nimesema umeanza kucheki soka Jana jk humjui bwana mdogo.We panzi bila shaka Klop umemfahamu alipofika Liverpool
Achana naeNdio maana nimesema umeanza kucheki soka Jana jk humjui bwana mdogo.
Kaa wa kutulia na utulize tekno hiyo.
Uache kuroppka vitu ambavyo huvijui.
Jk aliipandisha daraja Mainz ,halafu akachukua kombe lao la df pockal.
Akaenda bvb,hapo kwa bajeti finyu kabisa akavunja utawala wa Bayern akabeba kombe la ligi na df pockal..
Akaenda UEFA huko akatoa dozi kwa vigogo kama Real Madrid ya cr 7 walikula vibano nje ndani, akaingia final na Bayern
Akafungwa mbili moja..kwa kikosi kile kile cha bei ya mkaa, no money..!
Halafu hakukaa sana akaenda Liverpool huku akaingia final EUROPE kama tatu akapoteza, akaunda kikosi upya.
Baada ya misimu mitatu kikosi kikawakikawa fresh akaingia final UEFA na Madrid akapoteza ,
Next season akingia tena final na Tottenham na kuchukua ndoo,
Halafu akachukua na super cup .
Na msimu unaofatia akavunja rekodi ya miaka 30 na kutupa EPL ,mbele ya vigogo man city na wenzao...
Kwahiyo utilize domo lako kama kona ya bus.halafu nipe historian ya Hans nyumbu wewe
Ni new member halafu anaropoka ropoka.Achana nae
Hahaha...we dogo bila shaka umewashiwa hotspot u Google historia ya kocha wako.Ndio maana nimesema umeanza kucheki soka Jana jk humjui bwana mdogo.
Kaa wa kutulia na utulize tekno hiyo.
Uache kuroppka vitu ambavyo huvijui.
Jk aliipandisha daraja Mainz ,halafu akachukua kombe lao la df pockal.
Akaenda bvb,hapo kwa bajeti finyu kabisa akavunja utawala wa Bayern akabeba kombe la ligi na df pockal..
Akaenda UEFA huko akatoa dozi kwa vigogo kama Real Madrid ya cr 7 walikula vibano nje ndani, akaingia final na Bayern
Akafungwa mbili moja..kwa kikosi kile kile cha bei ya mkaa, no money..!
Halafu hakukaa sana akaenda Liverpool huku akaingia final EUROPE kama tatu akapoteza, akaunda kikosi upya.
Baada ya misimu mitatu kikosi kikawakikawa fresh akaingia final UEFA na Madrid akapoteza ,
Next season akingia tena final na Tottenham na kuchukua ndoo,
Halafu akachukua na super cup .
Na msimu unaofatia akavunja rekodi ya miaka 30 na kutupa EPL ,mbele ya vigogo man city na wenzao...
Kwahiyo utilize domo lako kama kona ya bus.halafu nipe historian ya Hans nyumbu wewe
Unadhani Mimi ni dogo mwenzio bwana mdogo?Hahaha...we dogo bila shaka umewashiwa hotspot u Google historia ya kocha wako.
Wewe kenge nani new member. Kama mpira hujui si uwe msomaji tu , siyo lazima uchangie upupuNi new member halafu anaropoka ropoka.
Hahaha..umesha gugo na umri wa Klopp. Unatumia site gani dogo?Unadhani Mimi ni dogo mwenzio bwana mdogo?
Nina umri sawa na klopp hii I'd isikutishe
Madini kichwani mengi
Soka damuni bwana mdogo hizo site sisi wakongwe hatuzijui tunaijua jf tuHahaha..umesha gugo na umri wa Klopp. Unatumia site gani dogo?
Pia bwana mdogo usichoke kuchangia upupuWewe kenge nani new member. Kama mpira hujui si uwe msomaji tu , siyo lazima uchangie upupu
Nipe namba yako tuongee.Pia bwana mdogo usichoke kuchangia upupu
Haya majamaa yanatembea vifua mbele Kama ilani ya ccm
Hans flick robbed...kapewa tuzo gaaan?
Wakuu Thiago anakaribia kupona mazima..
Je MFs itapendeza kama ni
Gini, Thiago, Hendo au
Gini, Thiago, Jones au
Hendo Thiago Jones
Thiago huyo ni mtamu zaidi akiwa CM.
Selhurst Park mapema kabisaaaaa kesho tunafanya yetu...
YNWA
Kura nyingi za makocha ndo zimempa ushindi Klopp kwasababu wanajua ugumu wa kupaform at the highest level for three conservative seasons na tunaenda msimu wa nne huu kama Liverpool ya Klopp
We jamaa mahaba yamekuzid mpka unakera tuzo ile ni ya kocha bora wa mwaka hatuangalii nyuma umefanya nn kwa sababu kipind hicho pia tuzo ilitoka kiazi ww kama ni ivo wangewapa wakina pep. Jklop mwnywe analijua hilo na kakiri kwamba hakustahili...Ndio maana nimesema umeanza kucheki soka Jana jk humjui bwana mdogo.
Kaa wa kutulia na utulize tekno hiyo.
Uache kuroppka vitu ambavyo huvijui.
Jk aliipandisha daraja Mainz ,halafu akachukua kombe lao la df pockal.
Akaenda bvb,hapo kwa bajeti finyu kabisa akavunja utawala wa Bayern akabeba kombe la ligi na df pockal..
Akaenda UEFA huko akatoa dozi kwa vigogo kama Real Madrid ya cr 7 walikula vibano nje ndani, akaingia final na Bayern
Akafungwa mbili moja..kwa kikosi kile kile cha bei ya mkaa, no money..!
Halafu hakukaa sana akaenda Liverpool huku akaingia final EUROPE kama tatu akapoteza, akaunda kikosi upya.
Baada ya misimu mitatu kikosi kikawakikawa fresh akaingia final UEFA na Madrid akapoteza ,
Next season akingia tena final na Tottenham na kuchukua ndoo,
Halafu akachukua na super cup .
Na msimu unaofatia akavunja rekodi ya miaka 30 na kutupa EPL ,mbele ya vigogo man city na wenzao...
Kwahiyo utilize domo lako kama kona ya bus.halafu nipe historian ya Hans nyumbu wewe
Lakini ile tuzo ni ya msimu mmoja tu, haiangalii umefanya nini nyuma.
Ndio ni ya msimu mmoja lakini nadhani wapiga kura hasa makocha nadhani wamemchagua Klopp ukiacha kuchukuwa EPL baada ya 30yrs pia kwa kazi ngumu aliyoifanya kwenye hii misimu mitatu
Maybe, uelewa wangu ni kwamba tuzo inaangalia ulichafanya msimu unaozungumziwa.
Football World inashangaa mpaka sasa nini kimetumika kumpa Klopp badala ya jamaa.
Klopp mwenyewe alishangaa.
Bayern wameshinda vikombe 5 chini ya huyo kocha.
Kiushabiki, naweza sema sawa, ila kiuhalisia sidhani kama Klopp alistahili hii tuzo.
Ndo maana hata mimi nasema labda kilichowafanya makocha wengine wampe Klopp kura nyingi ni wameangalia kazi nzuri aliyoifanya mfululizo kwenye hii misimu mitatu otherwise Hata mimi nilijua tuzo anabeba Hans Flick
Hivi mbona umeniganda sana wewe jamaaWe jamaa mahaba yamekuzid mpka unakera tuzo ile ni ya kocha bora wa mwaka hatuangalii nyuma umefanya nn kwa sababu kipind hicho pia tuzo ilitoka kiazi ww kama ni ivo wangewapa wakina pep. Jklop mwnywe analijua hilo na kakiri kwamba hakustahili...
Halafu Madrid hakufungwa nje ndani kima ww ilikuwa nusu fainal 2013 madrid alitoka kwa agg ya 4-3 away alipigwa 4-1 home akashinda 2-0 dortmud walitafutwa sana goli la tatu wakaponea chupuchupu......
Hafu mambo ya tecno yameingiaje hapa,huna akili ww sikukoti tena.