King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Hayo maombi hapo juu, yana nguvu sawasawa na yale yaliyowatoa jasho dhid ya fulham
Mkaishia Point moja tena ya kupewa penalty na var
Heshimu nguvu ya maombi, ukiona mtu anamshirikisha Mungu, maana yake ameacha nguvu za kiroho zipambane
Nguvu ya kiroho ndio ilifanya mpigwe 7 na aston Villa, ndio maaana hata wao Aston Villa ukiwauliza walifunga vip zile gori saba kuanzia, bench la ufundi ,kocha hadi wachezaji hawajui
This is Holly sprit Power
Labda Madanguro ndiyo ninayoyaona! Bora hata lile Jiji la Wavuta Bangi la Arusha.
Kama ni mtu wa ibada bar inakua ngumu kukaaBar ndo kwenyewe now days, vibandani mabechi unaumia tu mgongo na makalio
Upo Mwanza kitongoji gani ili nikupe uelekeo ila pia gesti nyingi wana cable TV's ambazo mpira ndo huwa chaguo la kwanzaIvi hii Mwanza Jiji haina Vibanda Umiza wala Lodge zenye DsTV? Jana nilishindwa kuiona game ya Man City na leo sijui kama nitaiona hii ya kwetu.
Yani kesho natimka hapa Usukumani
Mkuu hata uwe mtu wa ibada vp, Bar hakukwepeki, na kama kuna mtu wa ibada sana humu ajifunze kujichanganya kila mahali, huko anaweza akapata na wafuasiKama ni mtu wa ibada bar inakua ngumu kukaa
Sawa leo West brom ni wachovu
Lakin fulham sio wachovu...!
Usitusi mamba hujavuka mto ,uzuri unajua kabisa leo ukijitahid utaambulia Point moja kwa Spurs
Muda ni rafiki mzuri sana
Huwa nawashangaa sana mnaposema "anfield"Spurs huyu huyu ambaye Mara ya mwisho kutufunga Anfield ilikuwa Mwaka 2011 ndo anifunge Leo kama alishindwa kuifunga ile Liverpool ya kipindi kila ya Klopp ataiwezea wapi. Kickapoo kipo pale pale we subiria maumivu
Huwa nawashangaa sana mnaposema "anfield"
Sijajua huwa mnakuwa mnajifariji
Si juzi Atalanta kapress hapo anfield mkala gori mbili
Mbona mnapenda sana kujificha "anfield "
Overrated pitch
Huwa nawashangaa sana mnaposema "anfield"
Sijajua huwa mnakuwa mnajifariji
Si juzi Atalanta kapress hapo anfield mkala gori mbili
Mbona mnapenda sana kujificha "anfield "
Overrated pitch
Leo mkipigwa hapo anfield utasikiaMkuu jitahidi uwe unaangalia na mechi za anfield,sio tu unaletewa matokeo.
Mkuu mechi karibia zote za anfield kwenye epl tumecheza vizuri sana yaani tuna kuwa tunashinda Halafu tunakuwa tumeupiga mwingi sana.sio ushindi wa kubahatisha.
Ndio maana kila mtu anakuambia anfield liverpool licha ya kishinda tu ila anaupiga mwingi sana.
Mkuu naona leo utakuwa wa kwanza kuamini kuwa anfield sio mahali salama kwa timu pinzani.
Msimu ulipita ni burnley peke yake alijitahidi akapata point 1, wengine wote walikufa pale. Msimu huu hakuna atakae chukua point hata moja pale anfield, na dalili zinaonekana.
Hata kama timu inapata ushindi uwe unaangalia na huo ushindi wake,mfano ushindi wa Chelsea kumbe alikuwa anakutana na timu zipo nje ya top 12, sasa hivi anakutana na timu zipo ndani ya top 12 anafungwa mechi mbili mfululizo watu wanaona timu inazingua .
Ushindi wa anfield kwa liverpool hauna mashaka yoyote.
Game ya kwanza na atalanta tulimfunga 5 bila nyumbani kwake,mechi ya marudio kocha kazarau mechi yule aliyewapiga hatrick na wengine wakutegemewa waliwekwa nje Baada ya kufungwa goli moja zikafanyika sabu 5. Ikawa too late,na sio kwamba tulizidiwa.
Hicho ndio kilichotokea kwenye mechi na atalanta.
Sasa spurs na wengine huko tunapo enda sijao wakipata msamaha pale anfield.
Upo Mwanza kitongoji gani ili nikupe uelekeo ila pia gesti nyingi wana cable TV's ambazo mpira ndo huwa chaguo la kwanza
Mkuu hata uwe mtu wa ibada vp, Bar hakukwepeki, na kama kuna mtu wa ibada sana humu ajifunze kujichanganya kila mahali, huko anaweza akapata na wafuasi
Ha ha haaa hafu kubwa ni kua mfuasi na si kupata wafuasi.Mkuu hata uwe mtu wa ibada vp, Bar hakukwepeki, na kama kuna mtu wa ibada sana humu ajifunze kujichanganya kila mahali, huko anaweza akapata na wafuasi
Arsenal atashinda hii mechi,Asenal kashaliwa tunda kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Leo kama kawaida yetu kwa vigogo. Goli moja kila kipindi.Mo Salah atafunga goli 2 Leo,. Moja la penalty