Pole sana kwa uliopitaHello!
Nimeamua kuwatag wale Active members wote wa hii Thread kutambulisha hii ID yangu.
I'm KING NGWABA nimeamua kuja na hii ID ambayo ilikuwa Dormant kwa miaka Zaid ya Mitano tokea niitengeneze May 2015 ni sikuwa nikiitumia.
Nimefanya uamuzi huu baada ya Wiki kadhaa Sasa kushindwa kuingia JF kupitia Akaunti yangu halisi ya King Ngwaba na nimeshindwa kujua sababu ni nini.
Nimejaribu kwenye simu zaidi ya 5 nimeshindwa, nimejaribu kwenye Computer nako nimeshindwa, nahisi VPN nilizokuwa natumia kuna nyengine zilikuwa zinaiba na kublock Account za watu.
So, nimekuja na ID hii as King Ngwaba
Penison
Captain Marvelous
Masamila
DullyJr
zumbemkuu
Don Clericuzio
Baba Swalehe
Manga ML
BARDIZBAH
BAKOI
nguvu
Bengalisis
Na Mimi najiuliza inawezekana ndo maanaSidhani kama James Pearce anaweza kuandika hiyo taarifa halafu isiwe ya kweli.
Sema kitu cha kujiuliza, hata kama tukio ni la kweli jamaa anaweza kuliripoti?
Sisi Man City tunatafuna kenge yeyote atakayekuja mbele yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]According to our sources, Klopp asked Mané "are you a poor finisher?" And he replied "for me no". However, Firmino misheard him and thought he replied with "Firmino". This provoked Firmino to pull Mané's hair follicles.
[@JamesPearceLFC]
Hakika
Mapenzi ya kocha kumbakiza Firmino namba 9 tutaona
Kama wewe unamuona Keita ana faida Liverpool ni wewe kwa upande wako.Wewe acha chuki za hovyo zinakuharibia
Hivi wewe kwa macho yako Gini anafaida kuliko Keita ?
Weka stats za performance ya viungo kati ya wawili haoKama wewe unamuona Keita ana faida Liverpool ni wewe kwa upande wako.
Halafu usirudie tena Mkuu kumfananisha WIJNALDUM na vitu vya KIPUUZI Acha kabisa.
Isijekuwa upo kama jamaa mmoja humu akawa anamtetea Firmino sababu ya mapenzi mpaka akasema eti "wanaotuangushaga ni Salah na Mane"Kama wewe unamuona Keita ana faida Liverpool ni wewe kwa upande wako.
Halafu usirudie tena Mkuu kumfananisha WIJNALDUM na vitu vya KIPUUZI Acha kabisa.
Kwamba hujui kama EPL ni mashindano tofauti na UEFA?
Najua unajua ila umetafuta kichaka cha kujifichia.
Nitajie timu unayoshabikia nikupe matokeo yake Anfield kwa miaka hii minne.
To be clear: Mara ya mwisho Liverpool kufungwa Anfield kwenye Ligi ilikuwa tar 27 April 2017, ni zaidi ya miaka mitatu na nusu. A record your team can dream of.
Muda wa kutafuta statistics za Liability player kama Keita sina.Weka stats za performance ya viungo kati ya wawili hao
Niambie unaona sababu ya injuries nitakuelewa ila sio propaganda
Viungo unawa'assess' kwa kuangalia kapiga pass ngapi ,amefanya tackles ngapi,ametengeneza nafasi ngapi za kufunga, ametoa assist ngapi
Kipenzi chako Gini anapiga Square pass kuliko hata Hendo
Ulikuwa wapi hizyo miaka 30 yote ambayo ulikuwa huna ubingwa wa EPL ilihali tangu Mourinho atue Chelsea 2003 hadi sasa tumeshabeba EPL zaidi ya mara 6? Tunza akiba ya maneno NARUDIA TENA "tunza akiba ya maneno"Ni open forum mkuu, binafsi natembelea nyuzi zote timu ishinde au isishinde.
Tatizo lenu Chelsea mmeji overrate sana, mnataka mzungumziwe kwa kiwango kisicho chenu, when it comes to Liverpool you are just an average team. Nikihitaji matokeo kutoka kwenu nayapata anytime.
. Sisi tumenyinwa ngapi hizo unazoita za magumashiKufunga kawaida kwa penati tu tena ya magumashi?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Still a lot of records are there to be broken, then what is a strange case under this world? Proceed to memorize there yourself by being hidden under historical background records though the world is moving ahead and not backwards movement.Kwamba hujui kama EPL ni mashindano tofauti na UEFA?
Najua unajua ila umetafuta kichaka cha kujifichia.
Nitajie timu unayoshabikia nikupe matokeo yake Anfield kwa miaka hii minne.
To be clear: Mara ya mwisho Liverpool kufungwa Anfield kwenye Ligi ilikuwa tar 27 April 2017, ni zaidi ya miaka mitatu na nusu. A record your team can dream of.
Tena unaomba mpira uishe ili usiinamishe vichwa chini mashabiki kwa kichapo.Una tafuta draw na Fulham badala ya kutafuta ushindi..
Tuanze kwanza penati tuliyonyimwa Chelsea pale OT Magure akimkaba Azpilicueta, itoshe tu kusema wakati mwingine waamuzi huwa na mahaba yao au wanabeti full stop.. Sisi tumenyinwa ngapi hizo unazoita za magumashi
Still a lot of records are there to be broken, then what is a strange case under this world? Proceed to memorize there yourself by being hidden under historical background records though the world is moving ahead and not backwards movement.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Weka Statistics ku"back up" mashambulizi yako kijanaMuda wa kutafuta statistics za Liability player kama Keita sina.
Keita is more than a liability kwa Club.......He is a big Liability .
That's not a Footballer.
19 yrs old local lad CURTIS JONES was far better than £48 ml Keita.