BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Mechi ya Atalanta na Ajax nahisi watauwana uwanjani 😂😂
Mechi ya Atalanta na Ajax nahisi watauwana uwanjani 😂😂
Now we are on the same page my man...Curtis Jones Jezi namba 8 ni yako my Boy.
Hio unaangalia ukiwa na pop corn kwenye meza....Mechi ya Atalanta na Ajax nahisi watauwana uwanjani 😂😂
Kwenye hii game alikuwa ni mtu na nusu
inshot kaneba team msela kipa kama asingekuwa yeye ingekuwa draw 1 .1
Sioni akitoboa kwa wale watotoHio unaangalia ukiwa na pop corn kwenye meza....
Whats a game...
I see Atalanta winning this one...
YNWA
Bwana wee watajijua sie kazi imeisha jana tunaongoza kundi safiiii...Sioni akitoboa kwa wale watoto
Biashara ni asubuhiBwana wee watajijua sie kazi imeisha jana tunaongoza kundi safiiii...
Sasa tuwekeze nguvu zote kweny EPL maana UCL makundi tukutane February 2021...
Mechi ya mwisho itakua ceremonial tu kukamilisha ratiba...
YNWA