Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jota has eight goals in his last eight games for Liverpool.

Thank Goodness he doesn't play for a certain club because right now they'd be comparing him to Aubameyang, Salah, Mane, Aguero, Timo Werner, Harry Kane, Messi. We wouldn't hear the end of it.
IMG_20200919_120441.jpg


Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20201123-WA0002.jpg
    IMG-20201123-WA0002.jpg
    45.5 KB · Views: 5
Nimejiuliza Sana why VAR zinai cost Liverpool more kuliko timu zingine?

Au FA wanataka Kocha muingereza achukue kombe? Lampard??

Au Harry Kane wanataka kumpa Kombe??..


Waingereza si watu kabisa WA kuwaamini..
Thinking loud..
 
Looks tight but kuanzia February mafuta na maji vitaanza kuachiana nafasi ili kila kimoja kikae kwenye nafasi yake iliyozoeleka. Naona baiskeli za miti kibao hapo 😀 😀

Pamoja na masahibu yote yanayotukumba sasa hivi thank God hatuko pabaya sana. By January tutakuwa karibia na wachezaji wote (bar VVD & Jomez of course).

YNWA!

1606728869094.png
 

Attachments

  • 1606728812763.png
    1606728812763.png
    4.8 KB · Views: 6
Nadhani Mipango mibaya juu yetu VAR

Ni nzuri ila haikupi furaha wa kushangilia = VARANE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom