Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
Penalty et aisee
Var ni upumbavu
Var ni upumbavu
VAR .... Penalty...VAR: No Goal
Hii mechi imeamliwa na mtu na siyo uchezajiTujipange kwa next game! Hakuna cha kulaumu Refa wala VAR tumecheza vibaya
VAR imetukatalia magoli mawili, ikawazawadia Penalty mamamamamamae wallahPenalty et aisee
Var ni upumbavu
Hii mechi imeamliwa na mtu na siyo uchezaji


. Hapa hamna jipya tena.Si mlidhani ilikuwa rahisi Chelsea kucheza mashindano yote last season wakiwa na akina Tammy, James Reece, Mason Mount, Tomori, Christensen na GilmourMadogo haw wanapangwa weng sana, alafu hawana uzoefu na ligi
Ni Bora wangekuw wanawekwa hat wawili kw game
Mechi imevurugwa sana leoHaya matokeo yameniletea akili, kwamba ligi haitakuwa rahisi upande wetu.
Though tumecheza kwa kiwango cha chini, VAR kuna namna pia haiko upande wetu.
Hongera mkuu KWA point 3sijawahi kujua km ukishinda derby unapata point5!!!
Yan leo nachukua point3, naongoz league kwa point 5 dhidi ya Chelsea, alafu ashinde kesho aje juu![]()
Tunaazibiwa penalti mbili nyepesi sana na tu tunakataliwa goli mbili kiajabu ajabu tu
Mwaka jana mane alifaidika sana na VAR mwaka huu wafaidike wengine ,niwatakie jioni njemaInaonekana England washaandaa bingwa wanaemjua. Sio kwa fitna hzi tunazopewa aseee. Hapa hamna jipya tena.
Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
Mkuu hao Brighton hua sio powa kabisa... Too bado was a bit tight game sijawezi kuicheki nitaangalia replays...Kuna kila dalili ya yale ya A Villa kujirudia leo.
Fingers crossed.
Bwana wee VAR ni msumeno ndugu...Mwaka jana mane alifaidika sana na VAR mwaka huu wafaidike wengine ,niwatakie jioni njema
You're right.Mkuu hao Brighton hua sio powa kabisa... Too bado was a bit tight game sijawezi kuicheki nitaangalia replays...
All in all hawa jamaa nimetazama gemu zao kadhaa msimu huu nilitaka nijiridhishe kwa nini walimpa mkataba mrefu huyu kocha wao Mr Slim na hakika wapo sahihi kabisa kwani wamebadilika sana tofuati kabisa na zamani....
Katika hesabu zangu i was vouching Klopp to find a way to beat that stubborn Blue guys ila ndio hivyo wishes can be wishes lol...
We look forward to back to winning ways the next game...
YNWA
Yeah they lack a real sniffer in the box otherwise job well done they ain't a walkover team like they used to be..You're right.
Kwenye EPL msimu huu, BHA ni moja ya timu inayosukuma gozi kitalaamu sana aisee.... "easy on the eye" wenyewe wanasema. Pity that they're not consistently getting the results their brilliant display deserves.