Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I said it once line up announced
It was something f***k on history
You need to qualify then you select those f***k guys!![emoji35]
Reco, Orig, Tsim, Rhys and Jones were too bad
 
Mashabiki panueni KY haipo lakini

Mkuu tafuta dawa, bado hujapona.

 
Mzalau mwiba mguu huota tende

Next Ajax

Ajax huwa anabomoa akiwa ugenini, yeye hajali anfield wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hizi lugha zinakamilisha utafiti "katika watu watano wawili wanapitia matatizo ya afya ya akili" ndg changamka utapata ulemavu wa kudumu wa akili.

Kuna Forum huwa ni member inaitwa RealGM, nilijiunga kwa sababu ya kufatilia Basketball (NBA), aisee jamaa ni wastaarabu balaa.

Utani upo lakini hukuti matusi wala kukoseana adabu, na hawaendi nje ya topic. Nikisoma threads huko, huwa naelewa kweli sisi kama taifa tuna hali mbaya sana kuja kustaarabika.
 
Hizi lugha zinakamilisha utafiti "katika watu watano wawili wanapitia matatizo ya afya ya akili" ndg changamka utapata ulemavu wa kudumu wa akili.
Ulichoandika inaonyesha imekuuma sana kujua kuwa tumejua umeliwa
 
Liverpool uhakika wa kusonga hatua ya last 16 mara nyingi tunao but If I'm not wrong huu ni msimu wa 3 mfululizo tunakuaga katika pressure kubwa ya kuvuka hatua ya Makundi kwa sababu kama za jana zisizoeleweka.

Nilijiaminisha kuwa this season tumeshaondokana na ile situation ya do or die kuqualify next round but sio rahisi kivile.

Jana tulipaswa kupanga Mtiti wetu kamili ili tusonge mbele, hakukuwa na haja ya kubeti matokeo.

Anyway, ushindi wa next game unatosha kutufanya tusonge mbele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…