Inanikumbusha Vin alivyoodoka Manchester City wakajikuta katika hali kama hii...
Gemu zifuatavyo ni ngumu kwetu kwa hali tuliyonayo pale nyuma..
Vs Leicester
Vs Wolverhampton
Vs Crystal
Vs Tottenham.
Vs Ajax
Vs Atalanta
Vs Newcastle.
Tunahitaji malaika walinzi wawalinde vijana wetu wasiumie tena kwa kweli..
YNWA
Hata wembe nini pangaLulu gani labda? Mdau kazungumzia kuuza bila ya kureplace na wala hajasema alikuwa bora.
Kumbuka kuwa unapokuwa kwenye disaster sio Kifaru tu! Hata Panga huwa silaha.




Dah!!!!!Salah kapata Corona nyie mi nakufa![]()
I love this team mani I am so sadDah!!!!!
Halijaishi hili linaibuka lingine.
Salah kapata Corona nyie mi nakufa![]()
Alienda harusi ya Kaka akeHalafu cha ajabu ni salah peke yake tu wachezaji wengine wote wa Egypt wako vizuri.dah!!






Yeah Leicester sio kabisa wale jamaa japo nao pale nyuma kwa mabeki wana majeruhi kama sisi Ricardo na Soyuncu nao majeruhi...Game na leicester hiyo inaweza kutoa picha kamili ya mapungufu tulionayo ya kukosekana kwa baadhi ya wachezaji .
Lool there is a bad omen circulating pale Anfield si bure...
Tupo vizuri tutembee kifua mbele.Hao Madogo wapewe nafasi tu hakuna namna
Mkuu unashangilia magonjwa kwa binadamu wenzio!Maji mtaita mma huu mwaka ,,, salah huyo Tena ,covid19
Tupo vizuri tutembee kifua mbele.
No fear man Hahaha..
Mido ya Gini, Henderson na Jones au Gini, Henderson Jota imefanya kazi nzuri sana na kuwarahihishia mabeki kazi kwani mashambulizi yanazimwa kabla hayafika kwao ambayo kimsingi ndio idea ya Klopp kucheza high line ili kusiwe na pockets na pale hata upinzani wanafanikiwa kupenya basi inakua ni unit defence utamuona Mane yupo kwenye 18 yetu kuchukua mpira na kuanza mashambulizi...
Kazi inakwenda vizuri kabisa.
Huu ubingwa tukae mkao wa kushangalia..
YNWA
Ndio ushabiki mkuu ! Adui unamwombea njaa !Mkuu unashangilia magonjwa kwa binadamu wenzio!