Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mbona mnachat sana
Hamna kazi nyingine nyie jamaaaa
Sasa hapo tatizo lipo wapiMbona sielewi maisha yanavyoenda, wakuu, nyie mnaishi vipi mtaani?
Niko mtaani hapa, sioni ramani kabisa, umri unaenda, mwili unanisumbua unataka kuoa, pesa haionekani, huna hela hapa mjini kila mwanamke anakuona kikalagosi ni virugu na kichwa kuchanganyikiwa, mpaka sasa sina nacho miliki (26 year Old) zaidi ya -Account tatu za kubet ,betpawa ,1xbet,premiaer...www.jamiiforums.com
Ila we jamaa dah,Mbona sielewi maisha yanavyoenda, wakuu, nyie mnaishi vipi mtaani?
Niko mtaani hapa, sioni ramani kabisa, umri unaenda, mwili unanisumbua unataka kuoa, pesa haionekani, huna hela hapa mjini kila mwanamke anakuona kikalagosi ni virugu na kichwa kuchanganyikiwa, mpaka sasa sina nacho miliki (26 year Old) zaidi ya -Account tatu za kubet ,betpawa ,1xbet,premiaer...www.jamiiforums.com
Most influential people 2020 in the World Klopp yupo top pale Uingereza na kwenye top 100 duniani hii ni kutokana na uongozi wale pale Liverpool...
Namna anahandle wachezaji, waandishi wa habari nk..
Klopp is definitely a genius..
Long live Klopp..
YNWA
Ila we jamaa dah,
Saizi akili imeduma kabisa, sielewi naona jua linachomoza na kuzama, jana nilikuwa natembea jion kuangalia hata fursa naona kila mtu yupo busy hakuna msaada, nikaona machupa mawili ya maji Kilimanjaro yametumika, mara nikajikuta naokota akili inaniambia yakiwa mengi unaweza kuyauza na kupata kipato, naanza kuokota makopo hii si dalili za ukicha kweli au mimi sielewi.
Daaa
Ile mechi wazee mlibebwa?Hata mimi nashangaa inakuaje Chelsea analiwa na Wazee Darajani? Hii sio fair kabisa.
Dogo we boyaKuna kipindi nilikuwa najua kwamba jamaa anavyoandika pumba na matusi ni ushabiki tu, ila baada ya kuona hiyo thread nikajua ni zaidi ya ushabiki.
Ukisoma hapo chini utaelewa tatizo ni lilipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kipindi nilikuwa najua kwamba jamaa anavyoandika pumba na matusi ni ushabiki tu, ila baada ya kuona hiyo thread nikajua ni zaidi ya ushabiki.
Ukisoma hapo chini utaelewa tatizo ni lilipo
Tokea mara ya mwisho aliposajiliwa Alisson na Fabinho usajili mwengine uliofanyika ni wa Diogo Jota.
Nani anabisha?
😂😂😂😂Dogo we boya
Humu jf sio kila kitu ni uhakika, unazid kuonesha ujinga wako hadharani
Shule haijakusidia
Shida huna staha mkuu shida iko apo mwanangu ...Dogo we boya
Humu jf sio kila kitu ni uhakika, unazid kuonesha ujinga wako hadharani
Shule haijakusidia
Arsenal na Liverpool wamekuwa pamoja sasa maana wote wamepachikwa mibao na AstonVilla 2🤣🤣🤣🤣[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hawa watoto wa. Com wanataka kutupanda kichwani,!Shida huna staha mkuu shida iko apo mwanangu ...
Na wewe soon tutakuwa pamojaArsenal na Liverpool wamekuwa pamoja sasa maana wote wamepachikwa mibao na AstonVilla 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jaribu kuwa na staha mkuu wangu na kila mtu atakuheshimu bossMkuu hawa watoto wa. Com wanataka kutupanda kichwani,!
Ni wa kupuuza tu
Sisi tutahakikisha tunawapunguzia ninyi mizigo ya mabao mliyobebeshwa😃😃😃Na wewe soon tutakuwa pamoja
Kops pengo la Gomez linazibwa vp.
Gomez naye chali! Ameumia akiwa mazoezini Timu ya Taifa.