Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,910
Mkuu sidhani kama upo sahihi kuhusu hao wachezaji...Kila mchezaji tunayemsajili lazima Injury imuhusu mbn wengine wapo vzr wakisajiliwa kwingine sisi why? Au hatuoni mbali ama?
Chamberlain akipokuwa arsenal alikuwa hapati namba ila Hana Injury?
Keita! Alikiwasha Sana Bundesliga Leo kukicha injury hata kwenye mazoezi?
Shakiri! HUYU nadhani Kuna mengine yasiyowekwa wazi kuhusu yeye
Klop jaribu kuona mbali
Mane na Salah Acheni ujinga wenu
YNWA ✔️ 💪
Anything that Jota is doing Bobby has done its and better still we won trophies from his super play...a lot of fans need to hear this, Jota is clearly in great form and should be starting ahead of Firmino ATM but we are where we are after a few consistent seasons from Bobby where he’s literally played the most games out of anyone in our team, he needs a rest eventually
Mjaluo Origi anacho cha kutuonesha nina imani ni just hajapewa nafasi ya kutosha kutuoneshaAnything that Jota is doing Bobby has done its and better still we won trophies from his super play...
Jota now should maintain his consistency only then he can knock off Bobby for real... Because Bobby now lack that consistency in front of the goalie..
Jota has speed more than Firmino and better still he can shot while on run, he can defend, he can dribble, he can either flank or behind the front 3 haha huyu ni mr utility mpya wa Liverpool...
We will be losing Salah come 2021 to the Afcon and the Olympics so may be Klopp decided to plan in advance..
In any scenario we have complained our competitors subs being super talented haha ona Sterling out Bernado in.. Aguero out Jesus in..whereas kwetu ilikua Bobby out Origi in haha useless dudes... We are now aiming to have a proper sub guys that is the plan we have learnt the hard way through VVD...
YNWA
... Sterling out Bernado in.. Aguero out Jesus in..whereas kwetu ilikua Bobby out Origi in haha useless dudes...
YNWA
. Nadhani mkuu umeongea kwasababu wamekuwa majeruhi kwetu ila walipokuwepo hawakuwa serious injury Kama ilivyo kwetu sahivi Yani kwetu wamekuwa 2much mkuuMkuu sidhani kama upo sahihi kuhusu hao wachezaji...
Chamberlain muulize DullyJr au Aaron Arsenal watakwambia pale walitupiga maana ni pancha tangu yupo Arsenal...
Shaqir nae hana tofauti na Ox huyu na ndio maana hawa sio serial starters, ni ku supplements quality bench wanapohitajika but too bad muda mwingi wanaumia lol.. Kwa mfano Shaqir tangu 2011 mpaka sasa amekua mgonjwa kwa majeraha tofauti kwa zaidi ya siku 340...hapa Liverpool tu amekua mgonjwa kwa zaidi ya siku 90 amekua kwenye matibabu nyakati tofauti...
Keita amekua mgonjwa kwa zaidi ya siku 190 nyakati tofauti tangu amejiunga nasi.. Na kabla ya kwetu akiwa RB alikua mgonjwa zaidi ya siku 110...hivyo hajaanzia kwetu kuumwo huyu...
Tazama Mane/Salah tangu watue injury trend sio za kutisha...
Funga mwaka lol Thiago huyu EPL ina jambo nae...
Na hapa ukumbuke hatuchezi genggenpressing haha sijui ingekua aje..
YNWA
Bobby hakusajiliwa na Klopp. Nadhani mkuu umeongea kwasababu wamekuwa majeruhi kwetu ila walipokuwepo hawakuwa serious injury Kama ilivyo kwetu sahivi Yani kwetu wamekuwa 2much mkuu
Au Kama kweli walikuwa Injury walikotoka bc inamana Sisi Ha2jielewi? Mkuu makachero wetu Ni wabuvu? Klop ndo mbovu? Kwanini Sasa kila anayemsajili Ni mbovu? Sajili ya Klop ya maana Ni Mane Salah Robo Boby?
League ngumu
Leo saton anaongoza League [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikumtaja ilikuwa typing error hiyoBobby hakusajiliwa na Klopp
Best Team after heavy humiliation by aston Villa ,7goal"Liverpool have the best team in EPL for this season(2020/2021)" by Ian Wright
What matters is which team is the best at EPL right now? the answer answered by Ian WrightBest Team after heavy humiliation by aston Villa ,7goal
Sawa tuuuuuuSuarez Scoring against Liverpool.View attachment 1621333
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Ishu ya injury Mkuu ni ajali kazini hata wao wenyewe they are damn fed up kua mezani kwa ma dokta.... Nadhani mkuu umeongea kwasababu wamekuwa majeruhi kwetu ila walipokuwepo hawakuwa serious injury Kama ilivyo kwetu sahivi Yani kwetu wamekuwa 2much mkuu
Au Kama kweli walikuwa Injury walikotoka bc inamana Sisi Ha2jielewi? Mkuu makachero wetu Ni wabuvu? Klop ndo mbovu? Kwanini Sasa kila anayemsajili Ni mbovu? Sajili ya Klop ya maana Ni Mane Salah Robo Boby?
Vvd kuumia mrefu ilkua ni lazima na niliona kabisaIshu ya injury Mkuu ni ajali kazini hata wao wenyewe they are damn fed up kua mezani kwa ma dokta...
Tazama VVD alivyoumia huku akiwa amecheza tangu Jan 2018 bila major injury mpaka pale anaumia kwenye derby..
I just wish them all the best wapone..
Injuries za hawa jamaa ni well documented hata kabla hawajaja kwetu hivyo tuwe na subira...
YNWA
Barca served him the best karma i could ever asked for.Sawa tuuuuuu
Walichomfanya Barca hatakuja kusahau ,Karma is real
Kutoka mshahara wa £300k akajikuta anajibembeleza kwa Atletico waliombamiza mshahara wa £160k wakati kuna wachezaji tena sio strikers wanakula zaidi ya £250k na tena wengi tu pale shame on him tena kwa umri wake wa 33 years
Mi mwenyewe nimefurahi sana kama anaifanyia Club mambo kama hayoBarca served him the best karma i could ever asked for.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app